Big jay
Member
- Mar 14, 2013
- 96
- 33
Heshima zenu wakuu,,
me kijana mwenzenu naja mnipe mashauri, kwa sababu nahisi haya maumivu kuna siku yatanitoa roho yangu
kwanza kabisa mimi ni mwanaume wa miaka 26 kwa mda wa miaka 7 sasa nina shida ya kuumwa na tumbo chini ya kitovu maumivu makali ambayo huelekea mpaka chini ya korodani,, na nikiziangali vizuri huwa naona ka zimepasuka na maanisha yale mayai mayai hupotea na huonekana kama ujiuji hivi,, kwa kweli maumivu ninayopata hayaelezeki, hii hari hudumu kwa mda wa masaa mawili kisha hari hurejea kama kawaida
wakati mwingine ngoma ikisimama bila kupewa haki yake khari ujirudia maumivu ya tumbo na kuvimba korodani
nikitembelea nchi za kusini mwa africa napata shida hapa nipo kapiri Zambia nimebanwa sisogei mbele hata hatua moja mbele
msaada jamani.