Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Kilimanjaro mkuu...Mlima meru ama?
Haupo Arusha[emoji41]Kilimanjaro mkuu...
Nilisha kimbia mda kidogo mkuu pande hizo...Haupo Arusha[emoji41]
Unapata na kiburudisho cha mtoto wa Kimeru au Mbulu
Kama leo π°βοΈLeo hali iko poa ila juzi nilitetemeka kama bata.
Pole DepalKama leo π°βοΈ
Halafu kumbe majiraniShukrani.
Majirani wa nini? πHalafu kumbe majirani
Maeneo tuliyopoMajirani wa nini? π
Amka unywe chai.Hii yaleo imezidi. Kwa tulioshinda home leo ni mwendo wa kulala muda wote kama wagonjwa