Barnaba: Diamond sio Mwanamuziki

Barnaba kaonyesha tu watu kwamba katika uimbaji wa mziki wake kuna weakness although he is a gud musician, sasa hapo wivu uko api, watz hatupendi kukosoana that's why tupo nyuma Kwa kila kitu
Barnaba alichoongea ni sahihi sema wengi, hata wale wanaom-support, hawajamwelewa! Kwa mfano, ukiwasoma mashabiki wa Kiba, wanafurahia kauli hii ya Barnaba kumbe, ukiichambua kauli ya Barnaba inawahusu wanamuziki wengi including Kiba mwenyewe! Wao wanafurahia kwavile wanadhani kamponda Diamond kwamba hajui kuimba... wasichojiuliza, inakuaje ikiwa anasema Diamond hajui kuimba halafu bado anamtaja kwamba ni mmoja ya wasanii anaowakubali!

Tatizo lililotokea, Barnaba ametumia neno la kiswahili,kuimba kiufundi lakini kimsingi alichomaanisha ni kutofautisha kati ya professional na unprofessional musician or singer! Sasa linapokuja suala la professional musician or professional singers, majority kama sio wote hakuna professional! Kutokuwa professional hamaanishi haujui kuimba bali hauimbi kiweledi... you know nothing about staff, clefs and notes.. in short, you know nothing about music language na matumizi yake. Katika hili, wasanii wengi including wakongwe hawalifahamu kwa kuwa hawajaenda music school na hawana training na hata wale wanaofahamu kupitia training za hapa na pale, including Barnaba mwenyewe wanafahamu juu juu tu manake music language ni very complex.
 
Juma nature alimwimba sintah weeeee matokeo yake watu wakamchoka, ndo hayo anayokuja nayo huyu domo, wa tandale ni wa tandale tu

na atabaki kuwa wa tandale, lakini ndio hivyo tena from tandale to BET, alafu kutwa kuchwa ana kazi ya kutulisha malimao angrrrrrr!!! lakini mnajua acheni utani asee!! inaboa sana atii!! na inakera kupita maelezo, ngumu kumeza kwa kweli.
 
Mbona malimao yanalika kwa chumvi mamaaa ila sikuwezi muimba twaarabu, hahaha narudia tena anguko laja au hamjaona mwimbo wa nyota ukidoda hahaha
 
Mi naona umeandika kiuchokozi tu...fani ya kuimba ipo kwa mapana sana,wapo wenye ujuzi ea kuandika,wapo wenye ujuzi wa kuimba,wenye kutamba jukwaaani, na wengine wanatumia vifaa kutambulisha kazi zao...kifupi diamond ni bonge la msanii kama wasanii wengine wakubwa tu,kwa staili yake Ndio maana amefika hapo alipo.Na kwa Afrika,muziki wenye "maudhui" au ujuzi wa uandishi kama wa barnaba bado hauna nafasi kubwa,labda miaka ya 90..
 
Diamond ni msanii anaejua kufakamia jukwaa tu

Na hicho ndio kinachomfanya aitwe "msanii"...kucheza ndio asili ya mwafrika,maneno wamekuja nayo waarabu...Ndio maana watu wanapenda muziki wa Congo au wa Nigeria japo hawajui msanii anaimba nini..
 
chige nawewe, una undugu na Mange?? Unamaneno mengiiii, no hard feelings.
 
Last edited by a moderator:

Sasa mbona kamuorodhesha kwenye orodha ya wasanii anaowakubali!
 
Mbona malimao yanalika kwa chumvi mamaaa ila sikuwezi muimba twaarabu, hahaha narudia tena anguko laja au hamjaona mwimbo wa nyota ukidoda hahaha

hata kwenye vitabu vya dini tumeambiwa sana anguko la dunia laja siku sio nyingi watu mrudieni Mungu jamani, na sisi tunajiliwaza ponda mali kufwa kwaja.sasa wewe ulitaka diamond adumu milele?? ndio maana kuna kitu kinaitwa historia unazikumbuka hizi terminologies RISE and FALL, kwa sasa muwacheni kijana wa tandale ame RISE jamani hivyo hata ikafika siku aki FALL as u wish hatakaa atoke kwenye kumbukumbu zetu, KWI KWI ni kwa wale ambao hata hawajawahi ku RISE lakini wamesha FALL ndio maana unaona limao zinalika na chumvi kwa sasa.
 
Na hicho ndio kinachomfanya aitwe "msanii"...kucheza ndio asili ya mwafrika,maneno wamekuja nayo waarabu...Ndio maana watu wanapenda muziki wa Congo au wa Nigeria japo hawajui msanii anaimba nini..

wale wanaopenda wasanii kama diamond piteni hapa, na wale wanaopenda wanamuziki kama barnaba nendeni THT wapo wengi kule, ila mi nachojua msanii kwa sasa hapa TZ kwa upande wa bongo flava tunae mmoja tuuuu, nae sio mwingine niiiiiiiiii DIAMOOOOOOOOOOND PLATINUMMMMMMMMMMMMM!!
 
Mimi Diamond hata kama namuona kajanja, huyo Barnabas hajaweza kujieleza vizuri.

Kwanza mtu kuimba tofauti si kutokuwa mwanamuziki.

Kuna mifano mingi tu ya watu walioimba na kufuatisha mipigo iliyochepuka kitoka mitindo rasmi, na ingawa mwanzoni walikuwa hawaeleweki, walipokubalika wakawa wametengeneza mitindo yao.

Mifano michache ni James Brown na Johnny Cash.

Sasa unless atuambie Diamond anaimba off beat, maneno yake hayajitoshelezi.

Pili anajicontradict kwa kusema Diamond si mwanamuziki ni kajanja tu halafu kuntaja katika list ya wanamuziki anaowakubali. It seems he cannot make up his mind about Diamond.

And I am not even a Diamond fan.
 
Kutoa mawazo yako si kumchukia mtu, anyway watu wasiokuwa na akili ya kupambanua mambo kama wewe ndo mnajump into conlusion hiyo, any way wadau wanasema bongoflavour kamwachia kiba yeye kaenda kwenye fani anayoiweza, majungu.com

wewe unachokisubiria kwa hamu kwa sasa ni anguko lake, unatamani hata uwe catalist ili u accelerate hilo anguko lake, ndio maana nikakuambia u beta have sit kwani miguu itapinda hiyo arifuuu.
 
Kwani Barnaba ni mtaalamu wa vipaji? Kama yeye anaweza kutumia vizuri kipaji chake mbona hajafika next level?
Au anataka kutumia jina la Diamond kutoka?
Dogo komaa kivyako usitumie migongo ya watu kupanda juu!
 
Nimefurahi kwamba umekiri kuwa kuna ANGUKO, kula tano
 
wewe unachokisubiria kwa hamu kwa sasa ni anguko lake, unatamani hata uwe catalist ili u accelerate hilo anguko lake, ndio maana nikakuambia u beta have sit kwani miguu itapinda hiyo arifuuu.

Hayo umesema weyeeee mi nimefanya tathmini tu ya huyu domo kuimba twaarab,na majungu atashuka katika level zake, ila mburulaz unajump into that conclusion, sio kosa lako lakini
 
Nimefurahi kwamba umekiri kuwa kuna ANGUKO, kula tano

as we all know kurise and fall ni nature, kwa vile anguko lipo kwa kila anaerise ndio maana nimemiss point yako kwenye usemi wako kuwa unaliona anguko la diamond.
 
Hayo umesema weyeeee mi nimefanya tathmini tu ya huyu domo kuimba twaarab,na majungu atashuka katika level zake, ila mburulaz unajump into that conclusion, sio kosa lako lakini

maneno ya kejeli ya nini sasa mtabiri wetu?? vipi kwani ulikuwa umeingia nae mkataba wa kazi flani labda???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…