Hilo neno (He is a bad ass... = ni sifa tu (could be +ve or -ve), nadhani alikuwa anamanisha jamaa ni mkali saana katika Musik). Halina tatizo, inategemea na kitu gani ambacho alikuwa anakizungumza na kwa walengwa/wasikilizaji wa kipindi hicho. off-course hilo ni rude words huwezi kulitumia kwenye watoto na watu wenye heshima zetu.
Mimi nadhani kwa kipindi chake, na nyie wasikilizaji wake hayo ndo maneno yenu mngependa/mnayopenda kuyasikia! Huyo dada anajua audience yake inataka nini na ndo anachowapatia. akiwa too casual, mtasema kipindi chake kina-bore. Achaeni unafiki wenu. Mbona watu wengi wanaitana maneno ya ajabu tu, in a positive way?!! utasikia 'KICHAA wangu nitoe na buku 5.. ..', 'MCHIZI yule ni noma kwa ....' etc.
Maneno kama hayo huwezi kuyasikia kwenye kipndi cha Je tutafika cha Makwaiya wa Kuhenga and the likes. Mi nadhani muanzisha thread ulitaka watu wamjadili Diva kama Diva, lakini sio kwa kutumia maneno hayo.