Barney Stinson wa How I Met Your Mother: Kumbe ni Officially Gay!!!!

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
11,763
Reaction score
11,873
Namzungumzia The Legendary. Kwa wale mnaofuatilia Series ya How i Met your Mother nadhani mtanielewa vyema.



Kwa kifupi huyu Bwana amejipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa mashabiki wake kwa jinsi anavyoweza kulala na mwanamke yeyote atakayemtaka, tena vimwana wazuri wazuri Mazee..

Kumbe yale ni maigizo tu. Kwenye maisha yake nje ya Filamu, Huyu Jamaa ni Shoga na tena wanatarajia kupata mapacha yeye na "Mwenza" wake kupitia kwa mwanamke waliyemlipa kuifanya kazi hiyo.



Kweli dunia ina mambo...


EXCLUSIVE: Neil Patrick Harris Tells PEOPLE He Is Gay - Neil Patrick Harris : People.com


Life as a Gay Father: Neil Patrick Harris Opens Up to Oprah | Psychology Today

Mapendo.
TANMO.
 
merikani bwana kila mtu maaruf hasa wa tv show lazima wampumulie ndio anajua yupo juu hii balaa sana...
 
dah ndio ulimwengu wa kwanza shurti ukamatane na ukuta...jamaa nampendaga sana pozi zake za "legendary" au akiwa anafanya mitkasi na Ted Mosby katika kumsaidia kusaka viumbe....yeah the reality ndiyo hiyo...sipendi kama nini

alafu wale nnaowaaminia ndio wanaelekea huko wengi tu...mwandishi wa CNN Anderson Cooper dah....
 
duuuh he is my favorite mzee wa suite it up kumbe anakaa nyagwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…