Barrel Petro energy inamilikiwa na nani?

Barrel Petro energy inamilikiwa na nani?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Pamoja na kwamba ana lalamikiwa na watu wengi kwa kuweka vituo vyake vingi kwenye makazi ya watu, lakini ni moja ya kampuni zinazo fanya vizuri tanzania..

Mmiliki wake ni nani?
 
Ni mkurya mmoja kutoka Tarime huko, namfahamu.
 
Back
Top Bottom