Barrick Gold CEO terms Tanzania as high risk market

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
. Barrick Gold CEO Mark Bristow says Tanzania is a high risk market for the corporation, even as it struggles to fix a $190 billion (Sh437tr) tax dispute with the government.
Bristow said the corporation’s offer to buy the rest of Acacia Mining reflects the risk the Canadian-listed mining company faces in increasing its exposure to Tanzania.
He spoke Friday, May 24, 2019, in an interview with Reuters news agency. Barrick, the majority owner of Acacia with 63.9 percent, proposed on Tuesday to buy out the minority shareholders as part of efforts to resolve the dispute that has remained since 2017.
Acacia shareholders have expressed concern over the buyout plan, arguing the suggested offer was “ridiculous.”
 
Acacia has been the disturb alters and quenching the course of the negotiations since day one {of course it's not an acacia thing alone, they are plotting with his counterpart Barrick before coming outside to pretend}, we demanded him to pack and go once and for all,

 
Chuki zako dhidi ya TZ ziko waziwazi kabisa.
Wakenya mmetufundisha watanzania namna ya kuwachukia.
Nyie ni washenzi tu

 
hii ngoma naona bado mbichi kabisa!
 

Hapo [emoji849]nilichokiambulia ni neno TANZANIA[emoji849]
Siku zingine mkileta uzi kama hizi muweke na tafsiri kabisa[emoji849]
Hata taarifa za habari za nje ya nchi kwa chini kuna mtu anawatafsiria mabubu
Kwamaana hio hoja sio shule hoja ni kuelewa tu[emoji1321]‍♂️
 
Chuki zako dhidi ya TZ ziko waziwazi kabisa.
Wakenya mmetufundisha watanzania namna ya kuwachukia.
Nyie ni washenzi tu

👏👏👏👏👏💪 Yaani kila uchwao Magufuli anazidi kuwavua nyumbu na vilaza wengine nguo just imagine ni less than a month tayari over 34 billion business imefanyika, case ya Chunya ndio haina hata 3 weeks lakini ndio imechangia vile vile pakubwa kwenye hiyo cash

Lakini wapinzani wa Tanzania walivyo na akili kisoda walimpinga sana Magufuli katika uanzishwaji wa masoko haya ya madini na kuyaponda mbaya kama walivyoponda ukuta wa mererani, saivi Tanzania ndio kiongozi wa uuzaji wa Tanzanite duniani tofauti na awali ambao ilikuwa ni US, SA, India, Kenya, Tanzania na Tanzanite imepanda thamani mara 2 huku ikiingiza pesa serikalini zaidi ya mara 10 ya awali.
 
Japo mfahamu lao moja, hao Barrick na Acacia wapo kimoja, haya yote ni zuga tu, kwamba Acacia anajifanya sugu huku Barrick akiwazuga kuwa mzazi mwenye nia njema, ila itakua wanakutana usiku kujadili mikakati.
Duh wabeberu bana.....

Kweli lakini watatokea wapi?
 
Watu walioshindwa maisha ndivyo walivyo.
Mtu hana kazi ya kufanya kutwa kucha yumo kwenye mitandao unategemea nini.

Ataandika vitu vya ovyo ovyo tu.
 
Japo mfahamu lao moja, hao Barrick na Acacia wapo kimoja, haya yote ni zuga tu, kwamba Acacia anajifanya sugu huku Barrick akiwazuga kuwa mzazi mwenye nia njema, ila itakua wanakutana usiku kujadili mikakati.
Duh wabeberu bana.....
Wewe biashara ya dhahabu unsijua!? Yapo makampuni 3 toka asia are ready to comply with the law of URT.
 
Watu walioshindwa maisha ndivyo walivyo.
Mtu hana kazi ya kufanya kutwa kucha yumo kwenye mitandao unategemea nini.

Ataandika vitu vya ovyo ovyo tu.
Sure na tatizo lingine ni akili ndogo kuiongelea akili kubwa, sababu akili zao ni finyu kuja kuelewa akili kubwa inasema nini ni mtihani uliotungwa kwa lugha ya kichina.
 
Hawa mabeberu wanatakiwa kubanwa mbavu bila kuonewa huruma,
Wametuibia kwa muda mrefu tena bila huruma!
 
Wewe biashara ya dhahabu unsijua!? Yapo makampuni 3 toka asia are ready to comply with the law of URT.
Hayo matatu ni yale ya mwanzo, yapo makampuni zaidi ya 100 kiongozi, Taasisi za serikali zilikuwa zikiwahamasisha kuja nchini kununua dhahabu yetu, swali la kwanza lilikuwa tutazinunua wapi?

Mfumo wa uuzaji na ununuzi ulikuwa ni ule wa kijima mpaka uende machimboni uulizie contact za tajiri muingie kwenye gari muanze shusha pandisha saa ngapi?

Saivi wapo sehemu inayoeleweka mnunuzi akitoka Dubai anajua naenda sehemu fulani kununua dhahabu na vifaa vya kuonesha purity, ounces, world standard prices biashara inaenda kwa viwango na Banks zipo hapo hapo, taxes na vibali vyote vipo hapo hapo, huu ndio mfumo unaoeleweka wa kufanya biashara.
 
Watu wenye macho mafupi hawaoni haya. Lakini sisi tunaoona mbali haya maduka ya madini yataleta faida kubwa sana.
Nchi itafaidika mno.
Halafu kama ulimsikiliza vizuri Doto Biteko alisema 1% ya dhahabu inayopatikana inawekwa kwe National Reserve.
Kama kilo zimepatikana 1000 katika kampuni linaloshirikiana na serikali 10kg zinawekwa kwe hifadhi kama dhahabu.

Haya mambo yanawazidi wengi uwezo.
 
Stamico/stamigold company ya serikali 100% inaweza kufanya hii kazi vizuri sana ikawa dhahabu yote wanayozalisha inawekwa/inanunuliwa na BoT kama national gold reserves ndio mataifa yote makubwa yanafanya tuwe na forex na gold reserves, hata hawa Barrick hii wanayoiba hapa inapelekwa kwenye shuguli kama hii

Ni vizuri sana JPM alivyowafungua macho kwenye hii gold reserves kiukweli.
 
Unaonesha hujui context ya hio statement na ni kipi kilichowafikisha hapo hao vichwa ngumu Acacia...

Anyways say bye bye Ile biashara ya akina Watengula and crew, sasa gold inapatikana kwenye masoko maalumu ktk miji yote ya Bongoland, wanakaribishwa🙂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…