Barrick Gold wants tax refund from Tanzania Government!

Na bado wana airport ndani ya migodi, so we are not sure kama kweli hawasafirishi madini bila kuya account. Kaazi kweli kweli.

 
Hapa dawa ni ku nationalize kama alivyofanya Hugo Shavez full stop! Maana kama hakuna faida kwa nini wanaendelea kununua new projects? Hata mtoto mdogo huwezi kumdanganya. Barrick kwa sasa ana migodi zaidi ya minne Tz kwa nini na hakuna faida. Kwa nini ana keep on investing?
 
Shamba la bibi hilooooooooo!!!!

Yaani haki ya nani unaweza kupatwa hasira mpaka ukashindwa ufanyeje! Utafikiri hatuna wasomi nchi hii, yaani watu wetu wa sheria usingizi tu! Inakuwaje wanasaini mikataba mibovu mibovu kama hii?? Eti unapewa mrahaba wa 3% halafu unawarudishia fedha yao waliyotumia kuzalishia umeme kwenye migodi yao, utafikiri umeme huo walikuwa wanauingiza kwenye grid ya Taifa ili wananchi nao wafidike. Haki ya nani nji hii hatuna Rais bali tuna mfano wa Rais.

Hata Mibunge yetu nayo hamzo!! Hivi hamwezi hata mkaiga kidogo tu kwa wenzetu Wa-Kenya? Eti akina Maji marefu nao Wabunge hivi hapo tutegemee nini kama siyo kupitisha mikataba fake kama hii!!!!!!
 
Mungu tunusuru na huu wizi wa mchana kweupe
 
Mungu tunusuru na huu wizi wa mchana kweupe

Sijui kama kuna kunusurika kama CCM itaendelea kuwepo madarakani, labda wabadilike na kuamua kuanza kutetea maslahi ya nchi vinginevyo hali itaendelea kwa miaka mingi.
 

Hawa jamaa ni noma
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…