Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100 ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ya fidia ya kodi

Super, kiukweli Tanzania sasa tunafaidi madini yetu.
Hongera sana JPM,
Mungu Ibariki Tanzania.
P
Mpango na team yake wadau karibu 80... akiwemo gavana wamepokea sehemu ya kishika uchumba $100m kwa adabu kubwa ...Huku majamaa online Tz tutaifanya hub ya Gold Africa!
Bado sielewi kwanini wametudharau kutulipa hata hicho kidogo kwa mafungu!?Mbali ya kupoteza $190B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama corona Tanzania imepungua utashangaa nini Barik kulipa?
 
Yaani hizo million 40 x 5 years watatulipa kutokana na pesa watakayoitengeneza kwenye migodi yetu. In reality jamaa wanatulipa kwa pesa yetu wenyewe.

By the way, hivi ile billion 198 USD wamefikwa wapi!? Kama million 300 wanailipa kwa miaka 5 hiyo hayo mabilion si ndiyo tusahau kabisa.

Serikali inabidi wawe wazi kwenye hili. Kama waliko sea waseme tu tutawasamehe. Wakiendelea kukaa kimya kuhusu hizi billion 198 wengine tutaamini kuna Ufisadi nyuma yake.
 
Hawawezi kusema maana wanaogopa aibu iliyo wapata
 
Hongera kwa kazi nzuri Raisi wangu Dr John Pombe Joseph Magufuli...pole pole tutaelewana tu
 
Hongera kwa kazi nzuri Raisi wangu Dr John Pombe Joseph Magufuli...pole pole tutaelewana tu
Aisee sijui nani katuroga!? Tuwe wakweli mengine si ya kusifia!
Yapo mengi ya kusifia mfano sector madini kuwajali na kuwathamini wachimbaji wadogo, masoko ya madini nk.
 
Wametupata kweli mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…