Barrick n Acacia want offcourt dispute resolution


Teh teh teh tihiii
it's not early broda, if you follow how the issue is trending you'll notice how the big company Barrick accusing Acacia for evading the tax.
Ahaaa haaa haaa
hii LAZIMA wakae chini.
 
Bavicha na tundu za risasi wao wanajisikia vibaya sana sasa hivi.
Nafurahi lisu hakufa ili ashuhudie huu ushindi alokuwa anaupinga. Shame on him. Abaki huko huko.
 
Bavicha na tundu za risasi wao wanajisikia vibaya sana sasa hivi.
Nafurahi lisu hakufa ili ashuhudie huu ushindi alokuwa anaupinga. Shame on him. Abaki huko huko.

Teh teh teh tihiii
huu uzi najaribu kuuhuisha, lkn WAPINGAJI wanapita kimya kimya huku wamenuna.
Ahaaa haaa haaa
 

Please, please, President Magufuli hawa jamaa usiwaachie kamata hapohapo. Ukijifanya tu kulegeza watakuzunguka kwenye mlango wa nyuma. Hawana hiana walijifanya wanajua zaidi wakati walikuwa wanaiba live. Walikuja na semi kibao mara sijui kwenye makinikia kuna percent ndogo ya madini mara hawategemei hayo makinikia, lakini cha kushangaza baada tu ya makinikia kuzuiwa walianza kulia njaa, mara tunapunguza wafanyakzi, mara production imekuwa down, sasa nawauliza kama kweli kwenye makinikia hakuna dhahabu nyingi si wangeendelea na production ya pale site kama kawaida?
Usiiwachie Mr President
 
Hadi raha kuwa haipo pembeni kutazama wanaume wakilia lia kurudi mezani
 
Hadi raha kuwa haipo pembeni kutazama wanaume wakilia lia kurudi mezani

Teh teh teh tihiii
kuna watu walikuwa wanasema eti mtashindwa kesi HALAFU mtalipa faini ya kufa MTU.
 
Tundu is a sell out. He must be on the payroll of European oppressors.

He has never fought for the interest of TZ
The fight is not over yet! Let's be calm until it is settled out
 
Those are the Daydreams
 

Magu si mchezo, ni kiumbe kingine ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…