Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

Unapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
Wewe ni mpumbavu!
 
Unaweza kuta hiyo faida inayosemwa itapatika baada ya miaka 20, humu katikati watakwambia tunarudisha hela yetu ya uwekezaji.
Kwani hiyo miaka 20 Tanzania haitakuwepo boss? Usiangalie leo tu. Tanzania itakuwepo milele hivyo hata kama itakuwa miaka 50 ijayo hayo ni mambo ya kitaifa siyo ya raia anayeishi leo tu.
 
Aint no fear in what this administration has done so far. In fact we have demonstrated that an African country can take the bull by the horns, like a maverick, the GOT was able to renegotiate with the giant and retake what was rightfully so.

Now, the GOT under President Magufuli has set a precedent for other countries to follow, no one had the balls to do this before. We closed their offices in London and South Africa and opened them in Mwanza, we took their money away from their banks in London and kept them in Tanzania, so that our local economy would benefit. If that's not gangsta I don't know what is.
 
Anza na Tullow oil kule Lokichar. Wanajitea mafuta!

 
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Rejea maandiko ya Ndugu yetu Pascal Mayalla ameweka ufafanuzi mzuri Sana na kwa hakika kama unataka kuwa mjuvi wa mambo mengi ni nzuri kuwa mpenda kusoma Sana na uwe mchambuzi mzuri wa hoja bila kuwa biose wakati wa kuchambua mambo
 
Partly agreed.
 
Sawa kuna ongezeko la shares,lakini tumeshindwa vipi ku-negotiate mpaka ikafika 50%.Nini kiko nyuma ya pazia?
 
Rejea maandiko ya Ndugu yetu Pascal Mayalla ameweka ufafanuzi mzuri Sana na kwa hakika kama unataka kuwa mjuvi wa mambo mengi ni nzuri kuwa mpenda kusoma Sana na uwe mchambuzi mzuri wa hoja bila kuwa biose wakati wa kuchambua mambo
Siwezi kusoma maandiko mtu asiyekuwa na mawazo huru kama yeye
 
Tueleze wewe unayejua kuliko sisi
 
Labda, nasema labda tu...

16% hisa + 4% mrabaha wa madini + 30% corporate tax = 50%

Mmmh haipo hivyo na kunamabadiliko ya mrabaha toka 2017

Hisa 16% (Free share) dhamana ni Ardhi na madini
Tozo zingine zipo kama kawaida bila kuangalia ni serikali au Barrick, maana hapo ni Twiga Kampuni, Mrabaha (Royalty) ni 6% na Inspection fee 1% ya Mauzo ghafi (Hizi zitatolewa kwenye gharama za uendeshaji)
Hii 30% Corporate ni pale mtaji utapokuwa umerudishwa (breakeven) ndo hapo pakujiuliza Accacia ilishaanza kulipa sasa je, itaanza upya au wataendelea? Ndo wataalam watudadavulie
 
Siwezi kusoma maandiko mtu asiyekuwa na mawazo huru kama yeye
Ndio maana na wewe hujui mambo mengi yanavyokwenda ya Barrick
Ili kujua mambo yanavyokwenda ni muhimu kujifunza kusoma ya watu wengine ambao wanatofautiana na wewe mtazamo,maana kwa kauli yako hii hata wewe ni mtu usiye na mawazo huru ndugu
 
Mgawanyo wa faida hauko kwenye hiyo 50%/50% hizo ni economic benefits not profits

Mgawanyo wa faida utazingatia hiyo share structure
 
Net profit haitagawanywa kwa 50/50
Itafuata share structure ila economic benefits ndizo zitakazogawanywa kwa 50/50
Haujasoma yale makabrasha ?
 
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Yes 50/50

TZS will receive Corporate tax + SDL + Royalty + Management fees + Dividend = Barrick will receive Management fees + Dividend.

They will only fix us on loan from Barrick since interest is not a distribution of profit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…