Barrick overtakes South African Breweries as the largest inverstor, mh!

Barrick overtakes South African Breweries as the largest inverstor, mh!

Geeky

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
307
Reaction score
179
DAR ES SALAAM, African Barrick Gold (ABG) suffered a loss of $110 million (about Tsh179 billion) last year.

janwk2gold-miner.jpg

This is despite creating 65,000 jobs in Tanzania with an investment of over $2 billion (over Tsh3trillion) in Tanzania economy. ABG is currently the largest gold producer in Tanzania with three operational gold mines that includes Bulyanhulu, North Mara and Buzwagi and contributed over $980 million (Tsh1.5 trillion) to the Tanzania economy in 2013 that accounted for 3% of the country's GDP.

The ABG Chief Executive Officer Brad Gordon told East African Business Week in Dar es Salaam recently the loss was

due to fluctuations of gold prices in the world market while at the same time contributing around $223 million (Tsh358 billion) in direct taxes.

However, Gordon said ABG was still stable with a cash position of $289 million (Tsh464billion) as of September 2013 and the employment opportunities it offers and all its undertakings in the mining sectors gives it a position of being the largest private importer in the country.

He said that around $514 million (Tsh826 billion) worth of goods and services were locally sourced in 2013 which represented 32% of the total spent procurement chain.

"For a period of 13 years we have been in operational in the country, we have managed to become one of the major employers," Gordon said. He said currently 93% of all the workers at ABG were Tanzanian.

He said ABG expects to start its production at the Buzwagi mine in five years and position itself as the most efficient miner in Africa after being stalled for a period.

ABG, the largest foreign direct investor in Tanzania, is also planning to inject an additional $445 million (Tsh715billion) this year compared to $700 million (Tsh1.1 billion) additional investment it made in 2012.

Gordon said ABG is implementing its investments in making sure that it comes closer to the community by investing $14 million (Tsh22 million) per annum in Maendeleo Fund in the 50 projects of clean water, infrastructure, education and others.

The mining industry contributes hugely to the country's GDP through employment, supplier contracts, investments, payment of government taxes and multiplier effects from business linkages to other sectors. In 2012 the sector recorded an impressive growth rate of 7.8% in 2012, up from just 2.2% in 2011.

Source: East African Business Week

Source: Despite $110 million loss, Barrick sticks with Tanzania - wavuti.com
 
Hiko ni Kilio tu.
TBL tunaona Kodi yake na kila akiwekeza zaidi naamini mapato yanaongezeka na Kodi inaongezeka.

Hao wazee wa Mkapa na Tax holliday.
Wao kila wakiwekeza ndivyo wanavyozidi kuchelewa kulipa kodi.

Maana Kodi hailipwa mpaka kampuni Ibreak Even, sasa wata break vipi wakati kila siku wanaongeza Mtaji na kujifanya wanahasara hawajarudisha hela zao.

Na style hii ndio walio tufanya songas na mpaka leo ni Msiba.
 
3Tril kwenye Uchumi wa Tanzania Kivipi?

65,000 employed au hata wale waokota mawe mabaki wanawahesabu?

Tuacheni utani jamani Ajira kwa watu 65,000. Uchumi si ungepaa?

Maana watu kama hao aproximately wakilipwa hata 500,000/ average kwa mwezi naamini mabadiliko tungeyaona na yasingekuwa ya kusimuliwa.
 
Hapo kwenye ajira 65,000 anatakiwa azichanganue tuone skilled labour ni wangapi na hao skilled labour atuoneshe graduates ni wangapi na wangapi wameweza kuwasomesha ktk level ya masters, na Phd,
Na atueleze ni watanzania wangapi wanashiilia vyeo vya juu ABG haswa kama operation manager, regiona manager, na kada zingine ambazo ni za juu ABG
Zaidi ya hapo nitaona kama siasa za kutaka kujitangaza kwetu ili tuwaone kama ni watu wazuri, kumbe ni waporaji tu wa rasilimali.
 
14Mil Usd ni sawa na 14Bil Tsh.

Kama kweli wangekuwa wanawekeza hivyo kwenye elimu na Maji hivi kweli tusingeona hiyo miradi?
Hivi wangejanga ShUle kwa hizo Hela Zingekuwa ngapi? Hivi shule ya 1Bil si sawa na Olevel Plus High School ?

Hawa jamaa wasemew hizo 14 Bil huwa wanwekeza kwenyeMatumbo ya MaCCm na Michango kwa Mafisadi.
 
Hapo kwenye ajira 65,000 anatakiwa azichanganue tuone skilled labour ni wangapi na hao skilled labour atuoneshe graduates ni wangapi na wangapi wameweza kuwasomesha ktk level ya masters, na Phd,
Na atueleze ni watanzania wangapi wanashiilia vyeo vya juu ABG haswa kama operation manager, regiona manager, na kada zingine ambazo ni za juu ABG
Zaidi ya hapo nitaona kama siasa za kutaka kujitangaza kwetu ili tuwaone kama ni watu wazuri, kumbe ni waporaji tu wa rasilimali.

Ndugu hata kama ni vibarua, Ukweli ni kuwa hawa watu 65,000 kama wanalipwa average ya 500,000/ Kwa Mwezi ni Nyingi sana na Impact yake ni kuwa kwenye Uchumi na Tungeiona.
 
Hawa jama hata hizo ajira 65,000 zitakuwa siyo kweli, nadhani aukichukua migodi yao yote hata watu wafanyakazi 5000 hawafiki.

ni kweli mkuu,ukienda bulyankulu the biggest mine on Tz hawafiki elfu 2000,including sub constructors,pale buzwagi wamejazana m sub constructors ABG hawafiki hata 200,north mara napo hivyo hivyo,ukija hap Dar office wafanyakazi hawazidi mia.
mwaka jana wamefanya retrenchment ya kufa mtu,walianza na wagonjwa then long time serving employees .sasa hao 65,000 wametoka wapi.this is another cheap pr
 
Inestors huwa ni waongo siku zote wanaongea maneno matamu tu. Siasa kibao hapo nangoje wizara ya ajira irespond kuhusu hizo ajira 65000

ni kweli mkuu,ukienda bulyankulu the biggest mine on Tz hawafiki elfu 2000,including sub constructors,pale buzwagi wamejazana m sub constructors ABG hawafiki hata 200,north mara napo hivyo hivyo,ukija hap Dar office wafanyakazi hawazidi mia.
mwaka jana wamefanya retrenchment ya kufa mtu,walianza na wagonjwa then long time serving employees .sasa hao 65,000 wametoka wapi.this is another cheap pr
 
TBL reportedly contributes 17% of our budget if we can glean more from ABG and others and make reforms to regulate processing and selling of minerals and mandatory listing of these companies at our own stock markets, we can then scrap all shady mining contracts from mkapa era and then we wont need loans or grants for our budget in years to come. I don't see how these companies make loss and continue to operate year after year.
 
Utapeli mwingine bana wawe wanapeleka huko vijijini kwa kina FaizaFoxy & Co.
 
Last edited by a moderator:
report ni nzuri lakini bwana Gordon alikuwa kipromotion zaidi. kwanza hata ukijumuisha ABG offices za london na johanesbag southafrica the number is impracticle.ukichukulia past retrenchment due to fall of goldprice mwaka jana mamia ya watanzania wamekosa ajira, makambuni contractors wamekaishwa mikataba yao, wengine nao walipitisha fagio la retrenchment kwa wafanyakazi wao. labda kama mwandishi wa habari alimnukuu vibaya.
Ajazugumzia uwepo wa watu ambao wanajiita maexpert but hata form four wengi hawajamaliza wanalipwa mishaara ambayo ni swa na watanzania zaidi ya 20 kwa mwezi. Job security ni zero kwa watanzania kitu kinachojulikana kwa watu wote, kwenye list iliyotolewa ya makampuni ambayo yanalipa kodi mwaka juzi ikiwa chini ya kibuku, hadi mgodi mmoja tu wa resollute nzega uliizidi migodi minne yote kwa ujumla hata kumi bora hawakuwepo. huonekana wanafanya vizuri ukijumuisha paye za wafanyakazi pamoja na CRS contributions, Wamejitahidi katika CSR maana wamejenga mashule, vituo vya afya kahama wanajenga barabara ya rami kilometer zaidi ya tano ila haitoshi.

kuhusu vyeo vya juu wamejitahidi maana mmoja wa general manager wa mgodi mmojawapo ni mtanzania, deo mwanyika ni moja ya viongozi wakuu wa Barrick . kuna watanzania wachache wanavyeo vya juu. report hizi huwa ni kwa ajiri ya kuwafurahisha wanasiasa wavivu wakutafuta habari za ukweli. lakini kwa uongozi wa huyu jamaa wanaonesha watajitahidi kufanya vizuri zaidi kulingangana na maanalst kwenye mitandao ya kimagaribi na cv yake.
 
3Tril kwenye Uchumi wa Tanzania Kivipi?

65,000 employed au hata wale waokota mawe mabaki wanawahesabu?

Tuacheni utani jamani Ajira kwa watu 65,000. Uchumi si ungepaa?

Maana watu kama hao aproximately wakilipwa hata 500,000/ average kwa mwezi naamini mabadiliko tungeyaona na yasingekuwa ya kusimuliwa.
hizi data ni fake,hao watu 65,000 wako mgodi gani?buzwagi mgodi mkubwa kuliko yote hawafiki hata 1000.
 
Nadhani alikuwa akimaanisha Barick imetoa ajira 65,000 katika investments zao zote, na pesa ya kuwalipa wote inatoka Tanzania!
 
Hata siku moja ajira inayotoka ABG haiwezi kuizidi ile ya SAB. Jaribu kunyumbua ni wangapi wamepata ajira kutokana na SAB kutoka kiwandani hadi kule kijijini kwetu ambako kuna bar.

Kuhusu kuwekeza ni kweli ABG wamewekeza pesa nyingi kwa sababu ya mashine za gharama kubwa zinazohitajika lakini hizo zinamsaidia nini Mtanzannia? Wanachimba dhahabu nyingi na kuiuza nje na hizo pesa zote zinawekwa hukohuko kitu kinachosaidia kudidimiza thamani ya shillingi ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom