Hii move imechelewa sana. Gareth Taylor alikuwa ni mtu mtata na kwa kweli ameifanya Barrick Tanzania kuingia katika image crisis bila sababu za msingi.Credibility yake toka alipokuwa Geita ilikuwa ya mashaka. Ila kama tujuavyo, waswahili wanasema wa mbili havai moja.
Kwaheri Gareth Taylor. Tunakusuburi tena kwenye kampuni nyingine ya mining sijui this time itakuwa ipi ili uendeleze libeneke lako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.