Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Jay Z ni mkali ila hana puch zozote, yuko na flow nzuri ila punch hamna kitu, kwa hapa bongo ni sawa na prof Jay kwenye best Rappers huachi kuwaweka ila punch hawanaLuda sio mkali kama Jay z
Jay Z ni Goat anakuchapa kwenye flow na mafanikio maana ni bilionea 😂😂Jay Z ni mkali ila hana puch zozote, yuko na flow nzuri ila punch hamna kitu, kwa hapa bongo ni sawa na prof Jay kwenye best Rappers huachi kuwaweka ila punch hawana
Jay z pia ni mwandishi mzuri piaJay Z ni mkali ila hana puch zozote, yuko na flow nzuri ila punch hamna kitu, kwa hapa bongo ni sawa na prof Jay kwenye best Rappers huachi kuwaweka ila punch hawana
Marapa wa Atlanta wa sasa ni mawhack sana huwa wanaongea a random sentences na kutaja aina za magari,pombe na kurudia rudia tu maneno..Atleast Ludacris,2 chains,Gucci Mane,Andre 3000 wanawabeba na hiyo yote kutokana na kuwa na Element za old school rapsLuda out here spitting bars. Just in case some of y’all forgot.
ATL type of shit.
View: https://youtu.be/uQ5q28o0rVM?is=rkjZJ3YiB7VoBOZ-
Mumble rappers.Marapa wa Atlanta wa sasa ni mawhack sana huwa wanaongea a random sentences na kutaja aina za magari,pombe na kurudia rudia tu maneno..Atleast Ludacris,2 chains,Gucci Mane,Andre 3000 wanawabeba na hiyo yote kutokana na kuwa na Element za old school raps