BARTER SYSTEM (NATURAL RESOURCES Vs KISWAHILI)

BARTER SYSTEM (NATURAL RESOURCES Vs KISWAHILI)

Malova

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
784
Reaction score
228
Tunajisifu kuwa lugha yetu inakua sana duniani. Na wakati mwingine tunajisifu zaidi tunapoona mataifa makubwa kama CHINA na USA yanapo jikita zaidi kukijua KISWAHILI. Lakini kwa mtazamo wangu hawa watu hawana lengo zuri na kujihusisha kwao kujifunza KISWAHILI badala yake wanajifunza ili waelewe tunapowakaribisha kijinga hapa kwetu wasipate tabu wakati wanahitaji kuchukua rasilimali zetu kama MADINI, MAFUTA, n.k
 
Back
Top Bottom