Barua inayoandikwa kwenye kampuni ya bima unapopata ajali Gari likiwa na bima kubwa linaandikwaje?

Barua inayoandikwa kwenye kampuni ya bima unapopata ajali Gari likiwa na bima kubwa linaandikwaje?

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Nasikia kuwa Gari linapopata ajali iwapo lina bima kubwa no lazima kuandika barua.

Naomba kufahamu barua inakuwa inahusu nini na inaandikwa kwa nani?
 
Ile ni claim form mkuu chukua claim form toka kwenye bima yako ijaze..barua utaandika jinsi ajali ilivyotokea kwa kifupi...unadika kama report i.e Accident Report
 
Nenda kwa agent wako au kampuni ya bima wakueleweshe. Wengine huwa hatuandiki barua yoyote isipokuwa police report tu basi
 
Ile ni claim form mkuu chukua claim form toka kwenye bima yako ijaze..barua utaandika jinsi ajali ilivyotokea kwa kifupi...unadika kama report i.e Accident Report
Nashukuru sana.
 
Back
Top Bottom