Barua kwa diamond

Barua kwa diamond

lokomu

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
4,916
Reaction score
3,507
BARUA KWA DIAMOND
PLATINUMZ na MAMA YAKE
MZAZI
Mbeya region
P.O.BOX 0759209081
MBEYA
Dear diamond....
sina imani we ni mzima wa afya
kutokana hasa na mambo
unayofanya kiukweliii katika
wasanii wakali mpaka kupitiliza
hapa tz wew ni mmoja wapo..
napenda sana vibonzo vyako hasa
kile cha " nani amenuna nani
amenuna eti nani amenuna"
najua utakua umemalizia WEMA...
katika kila shoo zako
unazofanyaga mara nyingi huwa
unataja kumheshim sana mama
yako mzazi kutokana na malezi
aliyokupa toka kipindi kile unauza
MITUMBA.. lakini saiz unafanya
mama wa watu aonekane alizaa
toto zinzi ambalo kama
limetumwa kuzini na kuumiza
wanaume wenzie.. ivi unajua mke
anauma kias gani hata kama
wanajileta we ni mtu mzima
ambaye unatakiwa kupembua
mambo.... hasa kuhusu jambo la
HILI MBURULA LENZIO UWOZO
or SORY I mean UWOYA.. unajua
kabisa kaka yetu NDIKU ambaye
anafanya kazi ngumu ya
kukabana na wakina NSAJIGWA
NFUSO uwanjani ili apate chochte
cha kulisha family yake lakini wew
bila huruma una ramba asali
yake... ivi unajua mtoto wa uwoya
"krish" atakopukua njiani kwenda
shule wenzie watakua daily
wakimuambia " mtoto wa kambo
wa DOMO huyo' ivi dear
diamond mbna unataka mama
yako asipewe heshma sababu ya
wew hujui ka unamfanya awe
despsd infrnt of da pple...
najua hujaelewa coz elimu kwako
ni tatizo utampigia wema
akufafanulie ila usi mrecord coz
anakusaidia ww.... au umea
athirika unafanya kusambaza..
hawa wanawake wapo toka enzi
za ma dinossaurs,,, mwambie
penny akuambie maANA ya
dinossaurs.. huu mda
unaoangaika na wanawake
ungejiendeleza ata kielimu iyo 4m
four itakufksha wap.. na wew
mama diamond ivi huoni
anachofanya mwanao
unashindwa kumshauli au
unataka uje kumwambia
akishaanza kuharisha na
kumvisha visepe.. ERIC
SHIGONGO naomba ukiiona hii
itupie kwenye ijumaa wikienda ili
babu yangu wa ileje Ambaye
hatumiii fb asome mana kila siku
amekua akiipenda nyimbo ya
mbagala bila kujua uovu wa
aliyeimba kwa leo yatosha ila
TACAIDS naamini itakutemblea
diamond siku si nyingi kkupa
matumizi saHII YA arv
wako shabiki nambA MOJA
DUNIA NZIMA....... via mbele
kuchungu
 
Huyo uwoya yeye hajui kama ni vibaya
 
Back
Top Bottom