Barua kwa mke wangu mtarajiwa

Barua kwa mke wangu mtarajiwa

Joined
Jun 12, 2015
Posts
58
Reaction score
24
Mpendwa, mke wangu mtarajiwa,

Natumaini ni mzima wa afya huko uliko, yawezekena ni mpweke kwa sasa na unafikiria sana namna gani tutaweza kukutana mmi na wewe, napenda nikutoe shaka, kuwa na subira mda ukifika tutakutana malkia wangu!, Ama yawezekena upo kwenye mapenzi yasiyo kuwa na afya, umpendae kwa sasa anakuumiza moyo wako, usiwe na hofu daktari wako nipo njiani nakuja kukuondolea maumivu ya moyo, malkia wangu ni mmi peke nayejua thamani yako maana uliumbwa kwa ajili yangu,pendo langu ni la milele kwako maana wewe ndio ubavu wangu wa kushoto, najua malkia wangu unamzigo mzito usijali mimi nitaubeba na pia najua unamaadui wengi usijali mimi nitakulinda maana Mungu amekwisha nipa nguvu, malkia wangu, baba, mama na ndugu zangu wanapenda siku moja wakuone wanataka waishi nawe wanakusubiri kwa hamu sana, nimewambia malkia wangu, anamoyo wa dhahabu anapendwa na watu kutokana na matendo yake yanayowapendeza watu wema, malkia wangu nipo njiani nakusibiri nikupeleke kwetu.

Uipatapo barua hii naomba uni pm ilituweze kuwasiliana

Ni mimi wako mmeo mtarajiwa
 
Wakati wewe unaandika maneno matamu ya kuchombeza, kuna mwanaume mwenzio huko anakatikiwa mauno.

Endelea kujipa moyo, si vibaya kulea mtoto wa mwanaume mwenzio.
Ah hahaha hahaaa inatosha babu,
usije ukasikia mjukuu wako huyu kesho amekutwa chumbani peke ake huku pembeni kuna sumu ya panya
 
Wakati wewe unaandika maneno matamu ya kuchombeza, kuna mwanaume mwenzio huko anakatikiwa mauno.

Endelea kujipa moyo, si vibaya kulea mtoto wa mwanaume mwenzio.
You are correct, Sir!. Am telling you, some women are something brother!.
 
Wakati wewe unaandika maneno matamu ya kuchombeza, kuna mwanaume mwenzio huko anakatikiwa mauno.

Endelea kujipa moyo, si vibaya kulea mtoto wa mwanaume mwenzio.

Sikuhizi unapitia mahusiano number kadhaa ndo unakutana na mtu wako. Sio wote ila wengi wao ndo ivo. akikata mauno mda huo sioni kama she is to blame,yeye anatumaini alokua nae ndo atakuwa wake.sema ndo mtu unakua hujui kuna uliepangiwa wako wa kudumu na si unemkatia mauno.
Na huyo future husband nna uhakika hajakaa tuu kusubiri kumpata wake,na yeye atakua kune trial and error zake huko kabla ya kumfikia mhusika.
 
Teh teh Asprin u nailed it ,nashangaa kwa nini hajamuasa asimmalizie viuno vyote ambakizie
 
Last edited by a moderator:
Mwenyezi mungu ampe huyo Malkia wako mapenzi kama ulonayo wewe kwake..........
 
Usijali mfalme wangu mengi yatasemwa,watapiganaaa ila hawatashinda. Upendo nilionao juu yako ni wewe pekee unayeustahili.
 
mahusiano yakiwa mapya duh..
mbingu hushuka chini ila yakizidi miaka miwili mitatu na kuendelea...
ndo upendo wa kweli huonekana na silaha kubwa ya kuwaweka pamoja kwa imani na mapenzi yaliyomema ni MAOMBI.
Kila la kheri mkuu.
 
Sikuhizi unapitia mahusiano number kadhaa ndo unakutana na mtu wako. Sio wote ila wengi wao ndo ivo. akikata mauno mda huo sioni kama she is to blame,yeye anatumaini alokua nae ndo atakuwa wake.sema ndo mtu unakua hujui kuna uliepangiwa wako wa kudumu na si unemkatia mauno.
Na huyo future husband nna uhakika hajakaa tuu kusubiri kumpata wake,na yeye atakua kune trial and error zake huko kabla ya kumfikia mhusika.

Well said mkuu!
 
Back
Top Bottom