de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 2,044
- 4,558
Since tumeonana I never thought kama ingekua hivi leo, I was young I know and I knew nothing about love! I never believed love existed, I only saw it in TV shows and movies.
You are the one that taught me, wewe ndo ulianza kuonesha affection kwangu, I was afraid coz moyo wangu ulikuwa mbichi na sikuweza kuhimili emotion na upendo ulioelekeza kwangu. I was too freaky I know but that's how it was, sijilaumu na sikulaumu pia.
Is it because umekua now, umepata mwingine anaye weza kukidhi mahitaji? Or bado unanichukia kwa sababu ya kushindwa kurudisha upendo kwako kipindi kile? Au ndo hivyo tu watu hubadilika kutokana na mda kwenda? Honestly sijui but am in love with you and I'll always love you.
First love, najua Kila mtu anamipango na majukumu kutokana na njia tulizo chagua kwenye maisha, ila hili haliwezi kamwe kuvunja bond tuliyo nayo. Sitokuja kukusahau kamwe katika maisha yangu, you made me learn about loving people. Time goes so fast siamini kweli ulikuja na kuondoka, ni kama njozi inayojirudia mara kwa mara. I hope umepata mwenza atakae kujali na kukupa upendo unao stahili.
Nimepata mwenza pia, ila nipo nae kwa sababu mimi ni binadamu pia nahitaji upendo, just like you. Ila ni kama najaribu kufunikia mfuniko wa sufuria kwenye hotpot. Ila sina cha kufanya inabidi maisha yaendelee. Dunia haikupi unachotaka inakupa unachostahili, sina budi kukubaliana na huu msemo.
Miaka 15 imepita na bado ni kama jana, zile moments tulizo kuwa pamoja omg how did that end? Hakika nafasi uipatayo leo, hugeuka kuwa majuto endapo utaichukulia kawaida. You've gone so fast na ulikimbia 100mph kukupata ikawa vigumu. Nilimove on nikapata wanawake wengine ila uhalisia naujua mwenyewe.
Nakwenda kuwa baba soon, mungu akijaalia ila sijui itakuaje? Nahisi nitazidi kukusahau labda, mipango na majukumu yatanipa stress nyingi nikusahau? Ila yote kwa yote bila wewe huenda nisingempata mpenzi anaye nijali kiasi hiki. Upendo wake kwangu hunikumbusha mengi kukuhusu. Na sasa anakwenda kunizalia naona kabisa memories na ndoto kukuhusu zikifutika polepole, ila kaa ukijua nilikupenda na sitokusahau.
Sijapata taarifa yoyote kukuhusu toka tuwasiliane, ila hope unaendelea na maisha huko uliko. Nakutakia maisha mema na utimize malengo yako.
To you,
First love.
Unamaneno au ujumbe kwa first love? Je bado unamkumbuka au ndo ishapita ivyo? Akirudi utamkubalia? Shuka kwa comments!