I think the letter by the chair is well drafted, and it poses a threat to the government, which is good lakini kama mtoa habari alivyodokeza, inaonekana serikali sio kwamba hawajajibu tuhuma tu kama walivyoagizwa lakini pia hawajamtuma mwakilishi kwenye mkutano , mimi nadhani mkutano unaoendelea sasa ungetoa tu tamko dhidi ya serikali kwa kuwa kwanza hawatoweza kusema kwamba hawajapewa "right to be heard" kwani wamejiharibia wenyewe kwa kutokwenda, na kutojibu tuhuma kama walivyoagiza na chair. Kwa maneno mengine ni kama wamekubaliana na tuhuma kwahivyo hukumu dhidi yao tu sasa ingetolewa ili pia iwe ni mfano kwa nchi yetu na zingine kwa kutokuheshimu au kujali Haki za binadamu na vyombo vya kimataifa pia viheshimike siku za usoni !