jamani tunaombeni msaada wa maelekezo jinc ya kuandika barua kwa tcu kwa wale ambao tulichaguliwa vyuoni mwaka jana na kushindwa kulipot kwa sababu mbalimbali ijapokuwa hatukulipoti kwenye vyuo husika akini imetokea malalamishi ya wenzetu ambao wamedai kugomewa kuaply na tcu ad waandike izo barua xaxa izo barua znaandkwaje na znaitaji vi2 gani kimcngi em tusaidieni maana wengine tupo njiapanda ad xaxa na wale walopata mkopo na awakwenda chuon je
KWA NIABA YA WENZANGU WENYE TATIZO ILI NATANGULIZA SHUKRANI