BARUA KWA WANAUME WOTE NCHINI[emoji394]

BARUA KWA WANAUME WOTE NCHINI[emoji394]

usernameyangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
249
Reaction score
358
*BARUA KWA WANAUME WOTE NCHINI[emoji394][emoji404]*

*Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo wanaume mnatakiwa mjirekebishe 2018*
1) *Utakuta mwanaume anasafisha chumba mara 7 kwa wiki*
_hayo ndiyo mambo tusiyoyataka 2018 mwanaume anasafsha chumba mara 1 kwa mwezi yaani mpaka uanze kupga chafya chumban_

2) *eti dume zima unabadilisha boksa kila siku*
_mambo ya kike hatutak mwisho 2017 mwanaume kamili anavaa boksa moja angalau wiki 3 kwa afya mpaka iwe nyekundu ndo ifuliwe_

3) *Mtoto wa kiume unaoga kila siku ili ugundue nn*
_huo ndo umama tunaoukataa sasa utakua na tofaut gan na mtoto wa kike hyo tabia isiingie 2018_

4) *Mwanaume unatandika kitanda kila siku*
_hyo tabia ife ni kutudhalilisha wanaume_

5) *Unakuta Dume linafua mashuka kila wiki*
_hzo ni dalili za uanawake mwanaume hua hafui shuka mpka asikie kuwashwa akilala 2018 hatuitak hyo tabia_

6) *Mtoto wa kiume unakaangiza rost kuliko dada yko*
_huo ni umama_

7) *Unajiita Mwanaume wakat chumba chko kinanukia kuliko cha demu wko*
_hayo ndo mambo tunayoyapga vita chumba cha mwanaume kinatakiwa kiwe na fukuto_
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
mwisho 2017

_Imetolewa na mwenyekiti wa wanaume nchini_

Control/Command
C
Control/Command
V
 
Labda for ghetto boys ila sio wanaume wanaojitambua

BTW umenikumbusha boarding form two foolish age hayo ndo yalikua mambo yanafanywa
 
Usafi kipaji mkuu si kila mtu anacho. Komaa na uchafu wako mkuu.
 
Big up sana, ndio maana chawa, kunguni,viroboto,papasi, inzi, panya na mende ni wageni wenu wa kudumu.
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hiyo ni kwa wanaume wanaotumia jani kutoka Meru juu mlimani
 
Back
Top Bottom