Barua ya Adam Malima kumpinga Spika!

Status
Not open for further replies.
Zanaki,

Heshima mbele, finally you got it right, mtandao hawamuwezi Spika ingawa michezo yao ni hasara kwa taifa at large!
 
Eeh bwana amewaongeza wabunge masilahi kinyemela, halafu siku hizi wanaenda Europe kila siku bro, el alishajaribu ku-explorer idea ya kumtosa,

lakini Muuugwana akamuonya kuwa do not even think, Spika ni ngoma nzito uliza Msekwa! Siku hizi el hulia lia tu kwa pembeni!
 

Kwahiyo Muungwana anamjua vizuri mafia mwenzie.......................Kumbukumbu za uchafu wa uchaguzi bado anazielewa na mmoja wa strategic wake kwenye baadhi ya uchafu ni spika.He knows how tough the guy is...................!
 

Kukubali kwa Dr Dau kwenda kutoa ushahidi si kosa kama umeitwa kutoa ushahidi kabla ya kumuhukumu labda tujue ni ushahidi wa aina gani aliutoa?Kuna yeyote mwenye ushahidi aliyoutoa auweke hapa?
 
Wazee,
Kwa mjadala wa Malima na Mengi kufungwa na spika, ina maana hata PCB wataacha kufuatilia tuhuma au madai ya rushwa??
Hapa ni contradictions,Kila kukicha.Ninavyofikiri mimi wataendelea kwani lile linahusiana na tuhuma za rushwa zilizotolewa na Mh.Ndesamburo.
 


maswali


1 Ni wapi Malima katoa statement ya kusema kasalimu amri?

2 Malima Kucheka na spika ni sawa na walivyomfanyia mzee JM kule dodoma baada ya mwanae Ippy kufariki katika mazingira ya kutatanisha..nakubali inaweza ikawa ni PR STUNT na inakubalika hata Iran juzi iliwapiga bao Britain kwenye hili

3 AJALI KUBWA ? IPI YA GARI,NDEGE,BOTI au namna gani? hebu fafanua

4 Kuja na slogan siyo passport ya kuwa dikteta au kuboronga na hata leo hii huko states Gonzalez kuna hatarii akawa impeached, na kuna mtu alikuwa mahiri katika mduara wa ma NEO-CONSERVATIVES kama John Bolton au Donald Rumsfield? lakini when time came they had to go kwani huwezi kuendesha nchi kama nyumba ili hali mtu kama spika inaonekana wazi kuwa skendo hili alishindwa kutumia busara,elimu na ujuzi wake kuacha sheria ikafuata mkondo wake

5 Nakubaliana na reshuffling kidogo lakini nadhani its about time JK au MUUNGWANA au MZEE WA PAMBA akapunguza serikali yake na wengine ambao inaoneka dhahiri kuwa they have passed their time kama spika wakaretire from politics kwani hawatoweza kufanya kazi zao vizuri kama wanaweka mbele solutions zilizojaa Hasira badala ya busara na hekima
 
5 Nakubaliana na reshuffling kidogo lakini nadhani its about time JK au MUUNGWANA au MZEE WA PAMBA akapunguza serikali yake na wengine ambao inaoneka dhahiri kuwa they have passed their time kama spika wakaretire from politics kwani hawatoweza kufanya kazi zao vizuri kama wanaweka mbele solutions zilizojaa Hasira badala ya busara na hekima.

Solutions zilizojaa HASIRA badala ya busara na hekima.....what do you mean!
How do you define hasira hapo?
Leaders must be careful not to spend so much of their time perfecting their decision and that they cannot provide direction when it is needed. When there is indecision, matokeo huwa fragmentation of ideas and kila mtu ku-scramble in different directions kama ambavyo tumekuwa hapa JF ktk hii issue

yeyote aweza sema lolote juu ya uamuzi wa spika (personal interpretation to Mzee Six decision, seems to be very subjective to someone's emotions here).

Tukiwa objective, utagundua kuwa Spika katumia uwezo alionao Kisheria, na katumia sheria inayomuongoza kutoa maamuzi baada ya KILAZA Malima et al kutoona/kutosoma/kutoelewa kanuni/sheria/taratibu za Bunge........kwa sababu there will be no solution kwa mtu aliyeamua kutoelewa somo. HAKUNA miracle ya kuubadilisha UONGO KUWA UKWELI nasema HAKUNA.

Nitamuondoa Mh Malima ktk UKILAZA pale tu atakapotuthibitishia kuwa hakusema uongo, na sio blah blah za akina "Nungwi"
 
jamani spika kalifunga hili, na sisi naona tulifunga kwani "tunajua Spika yukoje, Mengi yukoje, na Malima yukoje"... Nadhani, Spika anahitaji kupewa "ushauri nasaha" au tuamua kumudhibu kwa kupuuzia uamuzi wake kwani "ametusononesha" sana kwa kitendo chake cha kusita kutoa uongozi.. Kanuni ya 15 yangu ya uongozi inasema "kama wewe kiongozi, ongoza! ama sivyo utafuata"!
 


Sound sarcastically nice... Just to add on to that..

Hasa ukizingatia kuwa hii forum ina miaka miwili tu, ukifika wa tatu na wanne, watu watatuona Irrelevant, na hakuna kitu kibaya kama mtu kuonekana irrelevant.

Wana JF kumbukeni pia tuna jukumu la kumsadia Mh Rais Jakaya kwenye masuala magumu ya wananchi.

Baadae watu hawata tu judge nani kafanya postings ngapi humu bali shule, makalvati. barabara nk ( pigeni makofi basi..)
 


Kweli sasa Spika amekuwa laughing stock....
 
Mzee Ogah,

Heshima mbele mkuuu, maneno mazito ushauri wowote kwa Muuungwana katika hili la kesi ya Malima, ni lazima ufuate sheria inasema nini,

Otherwise ni kupoteza muda bure, ndio maana huko majuu siku hizi kuanzia mabunge yao mpaka media zimejaa wanasheria,

inavyoonekana kwenye hiii kesi Spika amevurunda, lakini akiwa under sheria kamili, kwenye demokrasia hilo linakubalika na especially hii ya kwetu ambayo ni changa, cha muhimu ni kujaribu kuhakikisha next time shillingi millioni 100 za walipa kodi hazitupwi bila sababu muhimu, wakati uamuzi unaweza kuwa busara za Spika, michango mingi humu haiwezi kuwa sawa na michache, cha muhimu ni kujifunza upana na ufupi wa sheria zetu wenyewe, badala ya kulia kama vipofu wakati tuna sheria ya kutuonyesha njia!

Spika aliyoyafanya yalikuwa within sheria ambayo anaruhusiwa nayo, labda michango michache ilenge kwenye kubadili hiyo sheria!
 
DrWho,

Acha kupindisha mambo, by "ajali" Zanaki meant some big changes/shock, unaweza kusoma sentesi mpaka mwisho ukaelewa..
Maelezo mengine naona unapinga tuuuu. Anyway ni uhuru wa mawazo.

FD
 
Dr Who,

1 Ni wapi Malima katoa statement ya kusema kasalimu amri?

Jibu la hili ni tuone kama Malima ataendeleza mjadala,si hakukubali kwanza alivyoambiwa apatanishwe na akamshtaki Spika kwa K/Mkuu wake?Kusalimu amri sio lazima mtu atoe statement.Idi Amin alikimbia nchi baada ya kuelemewa,alitoa statement? Saddam alitoa statement zaidi ya kuingia shimoni? Kusalimu amri kunaweza kuwa ni kitendo.

2 Malima Kucheka na spika ni sawa na walivyomfanyia mzee JM kule dodoma baada ya mwanae Ippy kufariki katika mazingira ya kutatanisha..nakubali inaweza ikawa ni PR STUNT na inakubalika hata Iran juzi iliwapiga bao Britain kwenye hili

Sasa hili naona uelewa wangu kidogo ni mdogo,ni swali au maelezo?

3 AJALI KUBWA ? IPI YA GARI,NDEGE,BOTI au namna gani? hebu fafanua

Okay,ajali niliyomaanisha hapa sio physical or anything to do with GBH...unahitaji ufafanuzi zaidi?

4 Kuja na slogan siyo passport ya kuwa dikteta au kuboronga na hata leo hii huko states Gonzalez kuna hatarii akawa impeached, na kuna mtu alikuwa mahiri katika mduara wa ma NEO-CONSERVATIVES kama John Bolton au Donald Rumsfield? lakini when time came they had to go kwani huwezi kuendesha nchi kama nyumba ili hali mtu kama spika inaonekana wazi kuwa skendo hili alishindwa kutumia busara,elimu na ujuzi wake kuacha sheria ikafuata mkondo wake

Hapa sasa hata sijui nikwambie nini,maana katika maelezo yangu nimejaribu kuelezea kwamba issue hapa haikuwa ni Malima vs Sitta,but rather Pm vs Spika! Malima was just a poodle,and a pretty good one at that! Malima ilikuwa aadhibiwe(ndio kusukiwa ajali huko),na baada ya hapo mengine yote yangejitokeza.Dr Who,at stake here,is the 2015 elections.Ndio maana unasikia kuna mtandao within mtandao.Majina yameshaanza kujitokeza!Sasa kama wewe unadhani hii issue yote was just Malima vs Sitta, and since you are a "Doctor",i suggest you get your microscope!
 
natoa shukurani zangu za dhati kwako bwana zanaki kwa kuyaweka sawa maneno yako

after all katika mjadala si kushindana bali kuelezana na kwa hilo kamata tano
 
Nashukuru ndugu yangu,na tano nyingine pia zikuendee wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…