Barua ya Diamond ! Duh noma!

Ila mwanamke wa kweli ndo yule ambae anaweza kuibuka from nowhere na kuanza kumshambulia mtu bila sababu bila kujali kwamba huyo mtu ametahadhilisha kutoendelea na hilo jambo... na huyo mtu akithubutu ku-react back basi mwanamke tena huyo mwanamke wa kweli atahamashia matusi hadi kwa mama mzazi wa muhusika lakini baadae atadai yeye siye anayetukana!!! You're very funny... By the way, nani ali-take things personal? Mie nilizungumza suala la Watanzania lakini wewe ukaijivika utetezi wa Watanzania wote wakati message ilikuwa pale saa kibao tu lakini wote wakaamini haiwahusu na wewe tu peke yako ukaona ndo inakuhusu..... aaaaaaaargh! Anyway, stay blessed but if you think you didn't do anything wrong then this can happen happen again... hata kama si kwangu bali hata kwa wengine... my rule is simple... ukinizingua, nakuzingua... otherwise, peace and love... and from now, am gonna love you... or you don't like it? Anyway, stay blessed!
 
Huyu dogo bwana...adressee kagonga kiingereza na kachanganya herufi huku kwenye body kimatumbi....mxxxx
 
NasDaz sina mda wa malumbano kuita Watanzani wajinga hujaona ni kosa watu wame ku ignore hata matusi uliyo tukana hakukuwa na jipya sana ha ha you better mind ua own business dude hapa hatushindani matusi kachukue tuzo harsty generalization is false i wonder if ua realy a great think huwezi ku force mtu a comment unachokipenda asipo comment ndo umtukane endelea hvo hvo am out stay away from me
Its over
 
Last edited by a moderator:
We nimegundua una matatizo si bure... hii mada nilishaiacha tangu jana kwanini umeirejesha? By the way, hilo suala la kwamba if am really a great think siwezi ku-force mtu a-comment ninachotaka mimi linatoka wapi wakati, comment yangu nimesema "huu ndio ujinga wa Watanzania...!" na wewe ukaja juu... sasa ni nani anamtaka mwenzake a-comment anavyotaka yeye kama sio wewe kunitaka ni-comment unavyoamini wewe? Umeanza kumwaga matusi mwenyewe na-react back unaanza kulia lia... we vipi? Eti watu wali-ignore... sasa wewe nini kilikuwasha wakati sikukutaja wewe na wala si kwamba nilikua nimeku-quote wewe? By the way, kama hukuwa unatukana, ni kwanini message zako zimefutwa na moderators?

Anyway, huu mjadala umeisha tangu jana nashangaa umeurudisha lakini kama kuna unachotafuta, endelea. Stay blessed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…