Jana nimeamua kumuandikia mrembo ninayemzimkia kitambo barua iliyokuwa na maudhui ya kumtongoza.
Hopefully ata enjoy maana siku hizi hamna vitu kama hivyo nadhani.
Barua yangu ilikua ya muundo wa kirafiki aliyotufundisha Mwalimu Ndeanga darasa la sita kipindi hichoooo.
Au mnaonaje wananchi. [emoji28][emoji28]