Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 375
- 465
Habali wakuu,
Dada yangu wa kufahamiana, yeye anataka kwenda kuishi nje yani USA lakini amekosa visa hapa Bongo.
Kwahiyo atakayependa kumsaidia hata ampe mwaliko ili aombe visa. Kuhusu pesa ya nahuri na visa anayo ila mwaliko ndo hana kwahyo naombeni ndugu zangu msaidieni sister huyu aje huko akatafute life.