Barua ya mwaliko wa kusafiri ughaibuni

Jicholamwewe

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2021
Posts
375
Reaction score
465
Habali wakuu,

Dada yangu wa kufahamiana, yeye anataka kwenda kuishi nje yani USA lakini amekosa visa hapa Bongo.

Kwahiyo atakayependa kumsaidia hata ampe mwaliko ili aombe visa. Kuhusu pesa ya nahuri na visa anayo ila mwaliko ndo hana kwahyo naombeni ndugu zangu msaidieni sister huyu aje huko akatafute life.
 
Kama kweli kajipanga akaombe visa ya matembezi ila akishindwa aandae hela kweli nikuunganishe na jamaa anaprocess visa ya nchi yoyote iwe ya kazi n.k.
 
Sasa mbona issue ndogo
 
Je Sister ako anaasset zisizoamishika, Biashara, Kazi yenye mshahara mnono nk?
 
Kupunguza milolongo Alitakiwa atafute chuo awe admitted ,alipe ada yao ya mwaka chuo wampe barua ya kumtambulisha ubalozini ndipo visa ingekuwa rahisi kupata
 
Kupunguza milolongo Alitakiwa atafute chuo awe admitted ,alipe ada yao ya mwaka chuo wampe barua ya kumtambulisha ubalozini ndipo visa ingekuwa rahisi kupata
Sasa tatizo hapo ni kupata hiyo ada kwanza
 
Kupunguza milolongo Alitakiwa atafute chuo awe admitted ,alipe ada yao ya mwaka chuo wampe barua ya kumtambulisha ubalozini ndipo visa ingekuwa rahisi kupata
Uwezi kulipa ada kabla ujapata visa
 
Vyuo vingi hutaka ulipe ada kwanza ndipo kwanza ya mwaka ndipo wakupe barua ya kukutambulisha ubalozini wakupe Viza ukikosa viza wakati umelipa ada wana ku refund pesa yako
Nakubali
 
Njia nzuri ya kuja ni kwa visa za kazi au za shule. Viza za graduation na kutembea zitakusumbua sana kupata green card/permanent residence. Kwa vyuo halikisha unafanya Tofel test
 
Kama kweli kajipanga akaombe visa ya matembezi ila akishindwa aandae hela kweli nikuunganishe na jamaa anaprocess visa ya nchi yoyote iwe ya kazi n.k.

Waeleweshe vizuri kuwa jamaa yako anachofanya ni kukuombea visa ila sio anakutafutia connection ya kazi

Yani mtu anakuja akishakua na vitu vyote yeye ndio anaomba visa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…