Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
asante mkuu kutuahabarisha tunashukuru
Wadau habari zenu?
Kwa wale wanaohitaji kupata barua za mwaliko"Invitation letter" kutoka nchi mbalimbali wanazotaka kutembelea,na wameshindwa kupata passport au VISA,basi wawasiliane nami ili niwasaidie kupata hizo barua za mwaliko kwa malipo.
Kitu cha msingi asiwe mtu anayetaka kwenda kufanya uhalifu katika nchi hizo au kutaka kutokomea mara baada ya kufika,huduma hii inalenga zaidi wale wanaotaka kwenda kwa ajili ya Leisure/Tourism,kusoma nk.
Karibuni wenye kuhitaji PM.
Njia rahisi ni kuwa na documents zote zinazohitajika na uhamiaji,kamwe asikudanganye mtu kuwa kuna short cut kwenye kupata passport.Njia rahisi ya kupata pasipoti ni ipi, na je napataje barua ya mwaliko