Barua ya shabiki wa Arsenal kwa Alexis Sanches

Arsenal bila Sanchez inawezekana [emoji123] [emoji123] haijashindikana bado[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Sent from my HUAWEI P6-U06 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada asante kwa mada lakini nadhani wewe na wengine mmesahau kitu kimoja germany kodi zao ni tofauti na england ambapo kuna charges kubwa sana za kodi hapo sanchez akipewa hiyo net atabaki na si zaidi ya 280 hivi hao messi na ronaldo kiasi hicho wanacholipwa ni after tax tena tax wanaliwa na vilabu vyao hiyo ya sanchez ni before tax

Sent from my GT-N7105 using JamiiForums mobile app
 
Message sent akafie mbele huko hatuna pesa za kuchezea
 
Demu akikuringia tafuta Dada yake chapa.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Kiufupi amewachoka anawatafutia sababu.

Sent from my [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] using
JamiiForums mobile app
Mkuu ile njemba uliyoitongoza inakutafuta umemalizana nayo?
 
Ukiona hivyo haipendi Arsenal..demu kama hakupendi utaona tuu mikogo yake[emoji12] [emoji12] [emoji2] [emoji2]
 
Barua za nini mtu hataki Timu isiyoshiriki uefa

Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu, tatizo sio Arsenal mkuu tatizo ni UEFA, sasa kama hamna anachotaka afanyaje na yeye sio mnafiki? Mimi nawashauri mpelekeni Man City au Bayern kwa mkopo ila kabla ya hapo msainisheni kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…