Barua ya TFF kwa Bodi ya Ligi ni ya kutuandaa Kisaikolojia Wadau wa Soka nchini kwa Taarifa yao inayokuja siku si nyingi

Hii ngoma ipigwe kwa Mkapa...
Kama tumeamua kuiga Uingereza, tuige pia na namna wanavyocheza nusu fainal na fainal yenyewe...

Huko Burundi mnakopeleka sijui fainal mnataka Wakimbizi ndo wawe mashabiki?
 
Kwani kuna insta gani TFF wakipata fedha.
 
GENTA mbona una papara vitu vingine vinaamuliwa na muda kwahiyo subiri
 
Huyu atakuwa 'Genta', Ila umejitahidi kuwa japo si vyote vitatokea ulivyowaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…