Barua ya uchumba

Barua ya uchumba

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Habari za mida hii,

Kuna ndugu yangu anataka kwenda kuchumbia, sasa kaambiwa apeleke barua ya posa.

Kaandika barua ya posa tayari, ila sijui kama watakwenda kumuelewa.

Barua yenyewa ipo hivi, nampenda sana binti yenu, nikinywa maji kwenye glasi namuona , miguu yake nikiiona natamani kuzimia, sura yake naiona kama mdoli.

Hips zake zinanifanya nisilale , usiku sipati usingizi kwa ajili ya mtoto wenu , sijui mlitumia njia gani mkapata mtoto mzuri kama huyu. Naomba mnipe mtoto wenu nikaishi naye maisha ya milele.

Nimemwambia andika barua nzuri , hiyo hawatokuelewa.

Anasema hiyo hiyo ndo apewe jiko fasta.

Je wadau ,kwa barua hiyo watamwelewa kweli wazazi wa binti?
 
Watampeleka kupima mkojo kufananisha sura ya binti yao na mdoli ni uchochezi wa dhahiri kabisa

ForumsJF Chit-Chat

Barua ya uchumba
Watch Thread

  1. dimaaJF-Expert Member
    #1
    21 minutes ago

    New
    Habari za mida hii,

    Kuna ndugu yangu anataka kwenda kuchumbia, sasa kaambiwa apeleke barua ya posa.

    Kaandika barua ya posa tayari, ila sijui kama watakwenda kumuelewa.

    Barua yenyewa ipo hivi, nampenda sana binti yenu, nikinywa maji kwenye glasi namuona , miguu yake nikiiona natamani kuzimia, sura yake naiona kama mdoli.

    Hips zake zinanifanya nisilale , usiku sipati usingizi kwa ajili ya mtoto wenu , sijui mlitumia njia gani mkapata mtoto mzuri kama huyu. Naomba mnipe mtoto wenu nikaishi naye maisha ya milele.

    Nimemwambia andika barua nzuri , hiyo hawatokuelewa.

    Anasema hiyo hiyo ndo apewe jiko fasta.

    Je wadau ,kwa barua hiyo watamwelewa kweli wazazi wa binti?

    Report
    Like- 1 people like+ QuoteReply

  2. enjai ya kyashaJF-Expert Member
    #2
    17 minutes ago

    New
    Kwakuwa kuolewa ni dili watampa tu!!

    Delta Force

    Report
    Like- 1 people like+ QuoteReply

  3. TranscendJF-Expert Member
    #3
    16 minutes ago

    New
    Jf uishi milele..

    Report
    Like- 1 people like+ QuoteReply
  4. T
    The ElephantJF-Expert Member
    #4
    13 minutes ago

    New
    duh. ngoja apeleke tu hiyo ila wakimwelewa basi mahari inaweza ikawa juu

    Sent using Jamii Forums mobile app

    Report
    Like+ QuoteReply

  5. evonikJF-Expert Member
    #5
    13 minutes ago

    New
    Alitakiwa aandike barua ya kikaz ili maombi yapitishwe Au la

    Sent using Jamii Forums mobile app

    Report
    Like+ QuoteReply

  6. Sky EclatJF-Expert Member
    #6
    11 minutes ago

    New
    Wanaweza kumpeleka Mirembe kwanza

    Report
    Like+ QuoteReply

  7. MwakikotiniJF-Expert Member
    #7
    3 minutes ago

    New
    Watampa Makofi kwanza

    Sent using Jamii Forums mobile app

    Report
    Like+ QuoteReply

    • ForumsJF Chit-Chat

      • WHO ARE WE?
        JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic. You are always welcome!
        Read more...
      • WHERE ARE WE?
        We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually. For anything related to this site please Contact us.
        Contact Us Now...
      • DISCLAIMER
        JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
        Read more...
      • FORUM RULES
        JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you. You MUST read them and comply accordingly
        Read more...
      • PRIVACY POLICY
        We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one. Read our Privacy Policy.
        Proceed here...
g yao huo ni uchochezi
 
Uongo umetunga hyo

Sent using Jamii Forums mobile app from my Andoid phone
 
Hahaha.......kajitahidi kusema kweli yake
 
Back
Top Bottom