dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Habari za mida hii,
Kuna ndugu yangu anataka kwenda kuchumbia, sasa kaambiwa apeleke barua ya posa.
Kaandika barua ya posa tayari, ila sijui kama watakwenda kumuelewa.
Barua yenyewa ipo hivi, nampenda sana binti yenu, nikinywa maji kwenye glasi namuona , miguu yake nikiiona natamani kuzimia, sura yake naiona kama mdoli.
Hips zake zinanifanya nisilale , usiku sipati usingizi kwa ajili ya mtoto wenu , sijui mlitumia njia gani mkapata mtoto mzuri kama huyu. Naomba mnipe mtoto wenu nikaishi naye maisha ya milele.
Nimemwambia andika barua nzuri , hiyo hawatokuelewa.
Anasema hiyo hiyo ndo apewe jiko fasta.
Je wadau ,kwa barua hiyo watamwelewa kweli wazazi wa binti?