Barua ya visa kwa wale wanaotaka kuja china kwa biashara.

jluvanda

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
66
Reaction score
5
Habari ndugu Mtanzania, ninatumaini u mzima wa afya njema! Merry Christmas and happy new year 2015.
Katika kuhakikisha tunaboresha huduma zetu Kampuni ya Chinaworldbuz yenye makao makuu Shanghai, na ofisi yake Gorofa ya 10, Jengo la Ushirika tower, Lumumba Road, Mnazi mmoja , Dar es Salaam, Tanzania inakutangazia mtanzania unaetaka kuja nchini China kwa biashara kua tunaandika barua ya mualiko ( Invitation letter) kwa wale wanaotaka kuja kununua bidhaa nchini China na kutembelea viwanda tunavyofanya navyo kazi. Pia tunapenda kukukaribisha utembelee mtandao wetu wa baa! www.baa.chinaworldbuz.com ili kuwasiliana na marafiki viwanda na suppliers wa kichina kwa ukaribu sana kama ilivyo lengo letu kurahisisha biashara kati ya China na Africa, hususani Tanzania. Karibu sana China, Karibu Chinaworldbuz.

Kwa mawasiliano zaidi
+8613524159707 ( whatsapp & calls)Justine Luvanda
+255653978496 (whatsapp & calls) Peter Mwasunga.
 


Vipi mkuu kama nikitaka kuagiza vitu fulani fulani kama machine ndogo zisizozidi weight 600Kg ( e.g paint mixing machine) mnaweza kusaidia mchakato ?maana online business matapeli wengi vijisenti visije vikapotelea mifukoni mwa wajanja. Unaweza kunipa idea inaweza kugharimu kiasi gani ( service charge)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…