Barua ya wazi kwa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Hama kanisa!!
 
Ujumbe murua kabisa kwa Askofu uchwaraaa.
 
Huyo askofy fake analolitaka atalipata hakuna aliewahi kuchezea amani ya nchi hii akabaki salama.
Mungu IBARIKI TANZANIA [emoji1241]
 

Kwa lugha sahihi huu ulioandika huitwa utopolo.

Halipo jina sahihi kuliko hilo.
 
Swala la kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, hata mimi (japo siungi mkono Chadema) naliunga mkono.

Sijui wewe mleta post kama unalipinga!.
Na ukiwa unalipinga hili basi wewe ni mnufaika katika serkali ama utakua hujitambui.

Kitu pekee kitacho ni shawishi kupiga kura Tanzania ni Katiba mpya, bila hivyo sipingi kura " ng'oo".
 
Mnafiki .

Kwa hiyo wewe hutaki
1. Tume huru ya uchaguzi ?!
2. Hutaki katiba mpya ya wananchi !!

Kama huvitaki vitu hivyo ni vipi unaona mapungufu ya askofu Mwamakula ?!.
Je kukosekana kwa vitu hivyo kunakunufaishaJe wewe binafsi ?!

Odhis *
 
Hujui maandiko

Odhis *
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…