wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 389
- 607
Unajua azam bila kabumbu hana jipya??Kampuni ya azam media natambua mchango wenu katika michezo, ila kuna watu wachache wana wahujumu ili kuwarudisha nyuma, kama ilivo tokea kwenye ngumi adi mkaa amua kujiondoa.
Bac ushauri wangu kwenu bora mjiondoe pia kwenye mpila mechi kama izi ndo mlitakiwa mpate views wengi ila kuna watu kwa makusudi wana wakwambisha kwenye biashara yenu.
Ushauri wangu kwenu wekini pia kitengo cha intelgensia katika kampuni yenu msione Coca-Cola adi leo ipo toka kuanzishwa sio kwa bahati mbaya ingesaidia kumjua anae wahujumu.
Si kwamba hawajui wanajua ila nakwambia kamwe azam hawezi kufanya hicho, kuwepo kuonyesha kitendo cha kugomea kuonyesha mechi za ligi tayari watakuwa wamejipalia yenyewe makaa ya moto, ukiona wapo kimya basi na wao kuna vitu wanafaidi behind the door hakuna anayekubali kufanya vitu visivyo na faidaKampuni ya azam media natambua mchango wenu katika michezo, ila kuna watu wachache wana wahujumu ili kuwarudisha nyuma, kama ilivo tokea kwenye ngumi adi mkaa amua kujiondoa.
Bac ushauri wangu kwenu bora mjiondoe pia kwenye mpila mechi kama izi ndo mlitakiwa mpate views wengi ila kuna watu kwa makusudi wana wakwambisha kwenye biashara yenu.
Ushauri wangu kwenu wekini pia kitengo cha intelgensia katika kampuni yenu msione Coca-Cola adi leo ipo toka kuanzishwa sio kwa bahati mbaya ingesaidia kumjua anae wahujumu.
Sasa kitu gani kitawazuia wakenya au waganda kununua vingamuzi?Kupitia mechi kama iz ata africa mashariki soko la vingamuz lingekua tanueni fikra zenu wakuu
Inachekesha sanaMaskini amshauri bakhresa..!!