Barua ya wazi kwa BALILE na MERICA

Barua ya wazi kwa BALILE na MERICA

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Naomba nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai japo sisi sio kwamba ni wazuri sana zaidi ya waliotangalia mbele haki.

Nakuandikia Barua ya Wazi ndugu Balile na MERICA mtusaidie mambo yafuatayo.

1. Tunaomba mfuatilie kwa kini kiini cha Waziri Makamba na TANESCO kushindwa kueleza mradi wa JNHPP utakamilika lini?

2. Tunaomba mfuatilie kwa kina kwa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors na Serikali ili kujua fedha kiasi cha Trilioni 1.5 mali halali ya watanzania wanayopaswa kulipwa na mkandatasi kwa kuchelewesha mradi nini kinasababisha fedha hizo kutotolewa maelezo.

3. Fuatilieni kwa kina JK, Mwinyi na Mkapa walifanikisha vipi kujengwa kwa Bwawa la JNHPP hadi wakapata sifa ya kuwepo tuzo.

Mengine naomba wajumbe tuongeze maswali ya kuwatuma kina Balile na MERICA kuhoji kwa niaba yetu.
 
Toa ufafanuzi walau kidogo wa ulichokiandika.
 
Back
Top Bottom