mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Salaam. Pole na majukumu ya Kila siku. Niende moja kwa moja kwenye ujumbe wangu: Bernard Morrison jifunze katika maisha KUOMBA MSAMAHA!
Kuomba MSAMAHA si unyonge!! Bali ni utu!! Una kipaji kikubwa sana Cha soka lakini katika maisha umekuwa? ukiwakatisha tamaa wale ambao wangeweza kulea, kukuza, na kutangaza kipaji chako.
Ninaamini Kama ungekuwa mnyenyekevu muda huu ungekuwa mbali Sana yamkini ungekuwa kwenye ligi kubwa Kama EPL na La Liga!!
Kama ukiamua kuwa mnyenyekevu na kukubali kuomba MSAMAHA wa dhati unapokuwa umetenda kosa, utafanikiwa popote! Iwe Simba, Yanga au popote pale!
Kinyume chake hutafika popote na kokote utakakokwenda hautafanikiwa na umri anakutupa mkono!