CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
HABARI WAKUU.
Heshima Nyingi sana kwenu.
WAKUBWA Shikamooni.
Mimi ni Mpenzi shabiki na Mdau wa mpira wa Miguu.
Katika kufuatilia kwangu mpira nikajikuta ninaipenda sana club ya Simba SIMBA SPORTS CLUB.
Lunyasi.
Niliipenda sana Simba kwa sababu nilimpenda sana style of play. KUPIGA pasi nyingi, Ufundi wa wachezaji, na vipaji vikubwa nilivyokuwa naviona, MATOLA, pawasa, Gabllie, Machupa, Mwakingwe, Masawe, Macho, Shekhan nk.
Niende Moja kwa Moja Leo kwenye usajili.
Baada ya Kumpoteza Mzee Zakaria HANSPOPE.IRP.
Uwezo wa kusajili wachezaji wazuri umetisha kama sio kupunguza kabisa.
Tumeshuhudia Simba ikishindwa kusajili wachezaji wafuatao msimu ULIOPITA.
1. Cesar Lobi Manzoki.
2. Victoria Adebayor.
3.Stephen Aziziki.
4. Bambala.
5.Bobosi. Nk.
Simba Imeonyesha Mapungufu makubwa sana Uwanjani passing nk.
Wachezaji wa kigeni wafuatao wantakiwa waondoshwe haraka krabuni kwa Faida ya Simba.
1. Peter Banda.
2.Pape Osmane Sackho.
3. Sadio kanute.
4. Mohamed Ottara.
5. Victor Akpan.
6. Nelson Okwa.
7. Dejan ( Mzungu )
Hawa ni wachezaji wenye viwango vya chini sana kucheza Simba.
NATAMANI KUONA NAFASI ZIFUATAZO ZINAJAZWA MAPEMA SANA KABLA YA KWENDA KWENYE MAKUNDI YA KLABU BINGWA AFRICA.
1. Beki mmoja wa pembeni mwenye uwezo wa kucheza 2 / 3.
2.Beki wa kati 5 Mwenye uwezo wa Kusaidiana na Inonga.
3. Kiungo wa ukabaki No 6 CDM
Type ya Thadeo Lwanga au Bangala.
4.Kiungo 8 Mwenye uwezo wa kupandisha timu Box to Box KUPIGA pass sahihi.
Mchezaji kama Aucho.
Simba IMEKUWA na Shida Sana kwenye hili eneo kwa Miaka Mingi sana.
5.Mshambuliaji No 9.
Straiker mpambanaji wa mabao kama Mayele.
6. Kiungo 10, 7, 11. Mwenye uwezo wa kucheza pembeni na kati kati kumsaidia chama type ya Ntibazonkiza.
Simba ikishindwa kufanya haya MATOKEO yake ni vipigo, maumivu, LAWAMA nk
TUSILAUMIANE.
USHAURI NIMEISHA UTOA.
msituletee akina Dejan.
Cc NAOMBA BARUA YANGU HII
cc IUFIKIE WAWEKEZAJI WA SIMBA
Cc BODI YA WAKURUGENZI.
CC. KAMATI YA USAJILI.
CC. UONGOZI WA SIMBA.
CC . MAGROUP YA SIMBA.
CC. MASHABIKI WA SIMBA.
CC. WANACHAMA WA SIMBA.
NGUVU Moja.
naomba kuwasilisha.