It's interesting to know that there are people like you who have this amazing view of life!!
Baada ya mahusiano mabaya, nilifurahia sana maisha ya kuwa peke yangu. Yaani uhuru, muda, pesa, friends vyote havikuwa tatizo. Weekend kwenda miji tofauti na kuenjoy bila kuulizwa (of course bila kuharibu) it was full burudani!
Lkn moyo ni kitu kingine bwana; l am in love again na kwa muda it is good lkn sijui itaendaje.
Maisha ni jinsi utakavyo na ndivyo yatakavyokuwa. Kuna furaha kwenye mahusiano kama kulivyo kusiko na commitment! Furaha ni wewe zaidi!
Thanks mtambuzi.
Kaunga, Kaunga my lovely sister, nakushukuru sana wewe na wale wote waliosoma uzi huu na kujifunza jambo fulani maishani mwao. Aah! Mtambuzi mie, ni fahari iliyoje kuona binadamu wenzangu wakipata faraja kupitia ujumbe huu mahsusi kwa wale wanaojiona wametengwa na jamii...!Baada ya mahusiano mabaya, nilifurahia sana maisha ya kuwa peke yangu. Yaani uhuru, muda, pesa, friends vyote havikuwa tatizo. Weekend kwenda miji tofauti na kuenjoy bila kuulizwa (of course bila kuharibu) it was full burudani!
Lkn moyo ni kitu kingine bwana; l am in love again na kwa muda it is good lkn sijui itaendaje.
Maisha ni jinsi utakavyo na ndivyo yatakavyokuwa. Kuna furaha kwenye mahusiano kama kulivyo kusiko na commitment! Furaha ni wewe zaidi!
Thanks mtambuzi.
I love you Kaunga.
Thanks, you are my best; you know that! Nilipenda post yako ya 50% happiness. It reminded me my South African friend. Nilikutana naye DC kwenye workshop, after the workshop l was to visit our head office na nilitakiwa kufikia kwa our big boss. Sikufurahia kitu ile, she told me Kaunga, just promise urself that u r going to have fun; go n enjoy vingine vyote don't matter!
N true, l did enjoy; n we ended up being good friend with Mother house! So furaha tunayo wenyewe!
ulitaka kunioa au?