dodomacity
Member
- Jan 26, 2021
- 7
- 10
- Thread starter
-
- #21
Nimewataja makusudi kwani vitendo vyao vimezidi. Dg PCCB kupitia email yenu ya dgeneral@pccb.go.tz check kuna emails kibao zinazohusu watu wako hawa, tuko tayari kwa ushahidi kwani suala la wewe kutuambia zikufieje basi. Tuko tayari kwa lolote.Haya kawataja tayari hebu msidieni basi
Mkuu kumbe hii suala la watumishi vimeo TAKUKURU wengi mumeliona,awafuatilii tuuma ukiwapelekea wanataka rushwa.Kama DG anapita humu aimulike na ofisi ya TAKUKURU Mwanza,ni wababaishaji sana.Ikiwezekana atupe email yake binafsi tuwe tunatumia yeye direct.Kamanda heshima yako,
Napenda kukufahamisha kuwa tumekutumia email ya malalamiko dhidi ya maofisa wako wanajihusisha na vitendo vya rushwa. Email hii tuliyokutumia tumetumia dgeneral@pccb.go.tz. Tumeona tukutumie ujumbe kupitia jf hapa kwani tunaamini wewe unapitia hapa lakini pia uenda hiyo email husiipate kwani inaweza fika masijala na wakaipitisha kushoto. Kuna maofisa wako wa pccb ni wachafu. Tafadhali fuatilia.
Asante na kwa lolote kuhusu ushahidi tupo tayari.
Ndg yangu Kama kweli utafanikiwa kwenye hili kupitia humu JF basi na Mimi nitawalipuwa humu office ya Upelelezi na office ya Mwendesha Mashitaka wa Mkoa flani hivi,eti kila mmoja anamtupia lawama mwenzie! Sasa Mimi Raia nimebaki nawaangalia tu wanavyovutana wenyewe kwa wenyewe,wakati ushaidi wote nimewapa na vielelezo ju lakini bado wanatupiana mpira wao kwa wao! Au inawezekana wananicheza Sheri tu wanajua wanachokifanya!!Nimewataja makusudi kwani vitendo vyao vimezidi. Dg PCCB kupitia email yenu ya dgeneral@pccb.go.tz check kuna emails kibao zinazohusu watu wako hawa, tuko tayari kwa ushahidi kwani suala la wewe kutuambia zikufieje basi. Tuko tayari kwa lolote.
Yaani kama kuna office za ajabu basi ni office ya mashitaka, pccb na either rco or oc cid. Hapa bukoba uchafu huu upo office ya pccb na mashitaka. Muda wowote tutaleta hapa ushahidi wa rushwa inavyoliwa hapa bukoba kwenye office ya mashitaka na pccb. Kuna kesi moja tunasubiri tupate copy ya hukumu. Dg Hamdun, office yako ya bukoba hakuna watu pale, ni rushwa kuanzia getini hadi kwa mkuu wao Bw. John Joseph.Ndg yangu Kama kweli utafanikiwa kwenye hili kupitia humu JF basi na Mimi nitawalipuwa humu office ya Upelelezi na office ya Mwendesha Mashitaka wa Mkoa flani hivi,eti kila mmoja anamtupia lawama mwenzie! Sasa Mimi Raia nimebaki nawaangalia tu wanavyovutana wenyewe kwa wenyewe,wakati ushaidi wote nimewapa na vielelezo ju lakini bado wanatupiana mpira wao kwa wao! Au inawezekana wananicheza Sheri tu wanajua wanachokifanya!!
Mkuu kumbe hii suala la watumishi vimeo TAKUKURU wengi mumeliona,awafuatilii tuuma ukiwapelekea wanataka rushwa.Kama DG anapita humu aimulike na ofisi ya TAKUKURU Mwanza,ni wababaishaji sana.Ikiwezekana atupe email yake binafsi tuwe tunatumia yeye direct.
Asipofanikiwa basi lao moja shida ninayoiona ni kuwaacha watumishi wa PCCB miaka mingi vituoni wanazoeleka na kuwa wapiga dili pamoja na mifano ndo haya majanga ya kubambikiza kesi kwa wanyonge hii itaketa madhara makubwa kama mabadiliko hayatafanyika kwa haraka imani na taasisi itavunjikaNdg yangu Kama kweli utafanikiwa kwenye hili kupitia humu JF basi na Mimi nitawalipuwa humu office ya Upelelezi na office ya Mwendesha Mashitaka wa Mkoa flani hivi,eti kila mmoja anamtupia lawama mwenzie! Sasa Mimi Raia nimebaki nawaangalia tu wanavyovutana wenyewe kwa wenyewe,wakati ushaidi wote nimewapa na vielelezo ju lakini bado wanatupiana mpira wao kwa wao! Au inawezekana wananicheza Sheri tu wanajua wanachokifanya!!
bado hauko serious kiongozi weka mambo hadharani hapa unaficha nini kama umechafukwa weka hapa watanzania wote wajue uhuni wao ukiendelea kuficha haitakusaidia wewe, huyo DG wala nchiKamanda heshima yako,
Napenda kukufahamisha kuwa tumekutumia email ya malalamiko dhidi ya maofisa wako wanajihusisha na vitendo vya rushwa. Email hii tuliyokutumia tumetumia dgeneral@pccb.go.tz. Tumeona tukutumie ujumbe kupitia jf hapa kwani tunaamini wewe unapitia hapa lakini pia uenda hiyo email husiipate kwani inaweza fika masijala na wakaipitisha kushoto. Kuna maofisa wako wa pccb ni wachafu. Tafadhali fuatilia.
Asante na kwa lolote kuhusu ushahidi tupo tayari.
Kama kweli akifanikiwa kupitia humu,Mimi nitalipua bom na nitataja majina yao hadi voice clips zao humu!! Mimi pia nilienda ku report matter Takukuru nikachukuliwa maelekezo na nikapewa mpelelezi! Eti baada Kama ya week tatu hivi mpelelezi ananiulizaa huna Mtu Mkubwa unaejuwana nae Serekalini,nikamuuliza kwa nini,akasema hii issue ni nzito kidogo hata sisi Takukuru hatuiwezi! Basi toka siku hiyo sikumpigia tena nasoma tu status zake huko WhatsApp nabaki kucheka!![emoji3][emoji3][emoji3]bado hauko serious kiongozi weka mambo hadharani hapa unaficha nini kama umechafukwa weka hapa watanzania wote wajue uhuni wao ukiendelea kuficha haitakusaidia wewe, huyo DG wala nchi
Onyesha uchafu wait isijekuwa bifu za mademuKamanda heshima yako,
Napenda kukufahamisha kuwa tumekutumia email ya malalamiko dhidi ya maofisa wako wanajihusisha na vitendo vya rushwa. Email hii tuliyokutumia tumetumia dgeneral@pccb.go.tz. Tumeona tukutumie ujumbe kupitia jf hapa kwani tunaamini wewe unapitia hapa lakini pia uenda hiyo email husiipate kwani inaweza fika masijala na wakaipitisha kushoto. Kuna maofisa wako wa pccb ni wachafu. Tafadhali fuatilia.
Asante na kwa lolote kuhusu ushahidi tupo tayari.
Kuna maofisa wako wa pccb ni wachafu. Tafadhali fuatilia.Kamanda heshima yako,
Napenda kukufahamisha kuwa tumekutumia email ya malalamiko dhidi ya maofisa wako wanajihusisha na vitendo vya rushwa. Email hii tuliyokutumia tumetumia dgeneral@pccb.go.tz. Tumeona tukutumie ujumbe kupitia jf hapa kwani tunaamini wewe unapitia hapa lakini pia uenda hiyo email husiipate kwani inaweza fika masijala na wakaipitisha kushoto. Kuna maofisa wako wa pccb ni wachafu. Tafadhali fuatilia.
Asante na kwa lolote kuhusu ushahidi tupo tayari.
Na wewe kuwa na akili sasa nyumbu wewe! Si kasema kamtumia DG email!Awataje kabisa kwa majina. Bila kutaja DG atawajuaje? PCCB ina maofisa kibao kila Kona ya Tanzania
Ubarikiwe sanaWanajf naomba radhi kwa kuchelewa kujibu hoja zinazohusu post yangu kwani nilikuwa mgonjwa wa kitandani kwa wiki mbili nikiwa hoi. Kiufupi ni kwamba maofisa hawa wako hapa bukoba mjini kwenye ofisi ya pccb mkoa ambao ni KILASA MALULU, TRYPHONE MAGOGWA, MBAGA, KAPERA na mtu mmoja hivi ana kovu shavuni pia akiwemo bwana John Joseph ambaye ni mkuu wao. Tumelalamika tangu mwaka 2019 mpaka sasa hakuna majibu, lakini pia tumetuma emails kibao bila majibu na wakati mwingine tumeomba tuombwe ushahidi lakini pccb hq haijawahi kututakisha ushahidi. Email zetu wanazo lakini wako kimya.
Hii ni hatariHii taasisi yatakiwa kufanyiwa reshufle kubwa vinginevyo mambo hayatadumu huku Kigoma PCCB Uvinza wao wanatubabikizia kesi yaani wanapika taarifa ofisini ushahidi sifuri ipo siku kitanuka mkuu wa Takukuru Uvinza hana ueledi wa kazi yake anafikiri watu hawajui nini anafanya na akishirikiana na viongozi wa CCM Kata ya Nguruka akiwemo Songoro, Wambari na diwani RAmadhan wa Itebula? Yale ya Mpeta soon yataibuka ref issue ya Gwimo imebumbwa na diwani Itebula, Wambari naomba DG Hamduni muonye mtu wako Mulaki wa PCCB Uviznza najua ya Mpeta unayakumbuka baada ya police kura Sana rushwa na bado wakaendelea kukamata raia wananchi waliona waingie msituni yaliyojiri najua unayakumbuka....
Chukua hatua DG Hamduni