USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
BARUA YA WANABIHARAMULO KWA BALOZI NCHIMBI KATIBU MKUU WA CCM TAIFA
UTANGULIZI
Mh balozi tumesikia kuwa unakuja kufanya ziara hapa Biharamulo tunakukaribisha wilayani kwetu Biharamulo ,kuja kwako ni neema ya kutatua matatizo makubwa ya kiungozi/kiutawala ya chama chetu hapa wilayani biharamulo ,Pia kutatua tatizo la uvunjifu wa kanuni/sheria na miongozo ya chama chetu kuhusu kampeni kabla ya uchaguzi .
Hapa Biharamulo kuna mwanachama mwenzetu mwenye asili ya Burundi anaitwa Gresimus Nkurunzinza Ssebuyoya alinza kampeni mapema sana kabla na kujipitisha akitoa ahadi na hatimaye kukigawa chama ,kiufupi chama cha mapinduzi hapa Biharamulo kimegawanyika kati ya huyo Nkurunzinza na viongozi wa chama na hatimae kupunguza kazi ya usimamizi wa ilani yetu.
Nkurunzinza anafanya vikao vya usiku na makundi yake, anataka wananchi wasikiunge chama mkono ili mbunge wa sasa aonekane amwshindwa ili yeye aje agombee .
Amewanunua baadhi ya wagombea viongozi wa chama na sasa kuna tatizo kubwa la utawala na uongozi ndani ya chama na nje ya chama .
Mwaka 2020 ndugu Nkurunzinza aliongoza kura za maoni kamati kuu ikamakata kwa kukiuka kanuni,kutoa rushwa na ishu ya utata wa uraia wake tabia ambazo bado anazo .
Mh katibu Mkuu, sisi mwanaccm Biharamulo tunalazimika kukushktakia wewe kwa kuwa tunajua hapa Biharamulo chama amekiweka mfukoni kwa kuhonga viongozi huku CHADEMA ikizidi kupata uungwaji mkono mwisho wa siku tukose jimbo lichukuliwe.
Mh katibu Mkuu, huyu mtu anazunguka vijijini akigawa pesa kununua watu mapema na madhara yake yatatokea hata kwenye uchaguzi wa serkali za mitaa kabla ya serkali kuu
Mh katibu Mkuu, naomba uongee na viongozi wa juu katibu Sudi ,mwenyekiti na mwenezi wenu wakupe taarifa sahihi juu ya mgawanyiko huo kwa kuwa kesi zipo kwenye vikao vya maamuzi
Mh katibu Mkuu karibu sana Biharamulo
Mimi mwanachama CDE Rwanganga Nganyi