kasanga70
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 222
- 515
Wasalaam
Klabu yangu kubwa nawashauri tena. Niliwambia ukweli mechi ya Red Arrows ndicho kilichotokea.
1. Katika vilabu vikubwa Afrika mmo top ten lakini utani uwanjani na kuchangamka mwishoni mwa mechi itaendelea kuwacost.
2. Upangaji Wa kikosi ndio mnapoteaga balaa. Yaani wewe ni klabu kubwa Afrika unakuja kutuwekea first eleven ambayo haiwezi kumfunga hata mwadui. Sijui mkoje.
3. Kupendana pendana kindugu na kupangana ki wana wana wakati uwezo mdogo acheni hizo. Hii matola inakuhusu.
4. Nafasi mnayopewa ktk Afrika itapotea son mkiendelea kutuletea wachezaji Wa ligi daraja la kwanza kama hela zipo mnashindwa nini kununua strikers goal getter. Mnabaki tia maji tia maji tu na ushujaa Wa midomoni.
5. Mkishinda kesho kagoli kamoja anzeni kicheza biriani na kupandisha ma full backs muone asec watakachowafanya...
6. Kwa Leo ni hayo tuu teteeni club yenu kwa usajili Wa maana acheni utoto kwenye hili.
Mwisho Asec watawapiga counter attacks za kufa MTU...waambjeni mabeli keshi wajipange. Wana viberenge hao vinatembea na Mpira mguuni. Alamsiki