Mheshimiwa pole sana na majukumu ya kujenga nchi katika Wilaya ya Hai kwa kujipambanua kwa vitendo kuwatetea wananchi wanyonge katika wilaya yako unayoisimamia bila ubaguzi wa aina yoyote.
Hivi karibuni niliona ulipotembelea kiwanda cha mtu binafsi na kumtumbua mtu mmoja ambaye amekuwa akifanya vitendo vya ngono ili kuwapatia wanawake ajira katika kiwanda hicho, jambo hilo sio tu lilinifurahisha binafsi lakini hata waliokuwepo kwenye hadhara ile pia.
Kero yangu kwako japo ningeweza kuileta kwako kibinafsi maana najua unapenda kutusikiliza wananchi wako, lakini imenibidi niiweke hapa kwa faida ya watu wengi na viongozi waliolewa madaraka katika sehemu mbalimbali katika nchi.
Wilayani kwako kuna mtumishi ambaye ni Afisa wa Tume Uchaguzi wilaya almaarufu kwa jina la Madilu ama Rajabu.
Awali bwana huyu alikuwa Afisa Elimu Wilaya (Msingi) kabla ya kuwa afisa wilaya tume uchaguzi. Mtu huyu hana adabu hata kidogo; amekuwa akitembea na wake za watu jambo ambalo kijamii halikubaliki.
Najua unawaza kuhusu ushahidi; ninao, niliupata wakati ule wa mbio za mwenge wilayani hapo. Ila itoshe kwamba nimekujulisha na kwa jinsi ninavyokufahamu hutochukua hata siku moja kujua ukweli wa kadhia za mtu huyu.
Mtu huyu anafahamika sana hapo wilayani kwa uchafu huo na mara nyingi ameonekana sehemu kadhaa nyakati za usiku na wake za watu. Kwa nia njema sana mkalishe chini ajue maadili ya uongozi wa umma, la sivyo anachokitafuta tutampatia.
Msimpe muda wa kukidhoofisha chama chetu pendwa cha mapinduzi.
Kidumu Chama cha Mapinduzi!
Kazi njema!