DOKEZO Barua ya wazi kwa Mkurugenzi Mtendaji TADB

DOKEZO Barua ya wazi kwa Mkurugenzi Mtendaji TADB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

maendeleoyadumila

New Member
Joined
Mar 30, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Yah: uchomaji moto kwenye taasisi ya serikali

Kiongozi, taasisi yetu iko kwenye hatari kubwa ya kupata janga la moto.

Kaimu Mkurugenzi wa mikopo na biashara ana tabia ya kuchoma vitu visivyo eleweka ndani ya ofisi.

Tabia hii inaweza kuleta majanga kwenye taasisi .

Hata hivyo uchomaji moto ndani ya ofisi ni hatari kwa usalama na afya za wafanyakazi mahali pa kazi.

Tunaomba ukemee hii tabia kama kiongozi kuepusha majanga ya moto.

Wako mtiifu
 
Anachoma vitu visivyoeleweka ofisini;!!?? [emoji848][emoji848]
 
Kuwa serious kidogo, kama una cha kuandika andika ueleweke sio kutupotezea muda
 
Labda anachoma ushahidi...

Sintashangaa kama kweli huyo mkurugenzi wa mikopo wa hiyo benki anachoma nyaraka kwani hata huyo Mkurugenzi mkuu wa hiyo benki track record yake toka akiwa TIB na baadae Lake Oil sio ya kutukuka!!! In fact inashangaza kuona Rais Samia baada ya kuhangaika kupata mkopo wa fedha nyingi kudoka ADB akakubali kumkabidhi huyo bwana asimamie fedha hizo ili hali record yake ya utunzaji wa fedha ni wa mashaka!!!
Inaelekea watu waliopendekeza jina lake kwa Rais walishaweka mikakati ya kuhujumu fedha za hiyo benki; sintashangaa kama audit ya hiyo benki ikifanyika hivi leo na wakakuta madudu mengi katika muda huu mfupi!
 
Back
Top Bottom