Barua ya wazi kwa mkuu wa chuo sokoine na vyuo vyingine vyenye tabia hiyo...

NAAMINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
672
Reaction score
235
ndugu zangu wanaharakati wenzangu wa kutoka vyuo mbalimbali hapa Tanzania....semister iliyoisha SUA ilifanya uchaguzi na hakika ilipata rais bora aliekubarika sana,lakini kiongozi yule baada ya kuanza kazi na kuwabana viongozi wa chuo..wakaamua kumuondoa tena kwa kumuonea kabisa...ndugu zangu wasomi wa vyuo vikuu vyote freedom squares zote zimekuwa ni kumbi za sherehe na harusi..watu hawakutani tena kujadili maswala mbalimbali kwa hofu iliyojengwa na wapumbavu wachache...vijana siku hizi mmekuwa kimya...rais wa chuo kikuu anafukuzwa tena kwa kuonewa lakini vijana mpo kimya kama hakuna chochote kilichotokea...vijana ilitakiwa mjiunge na muhoji raisi wenu yuko wapi pasipo uoga...naumia sana kwakuwa na kizazi cha watu waoga na wasio hoji...nasikia tena mmeambiwa mtoe 20000 kwa ajili ya medical fees huku mkiwa na vitambulisho vya bima kwa kuwa ni waoga mmeshindwa kuhoji wasomi mnaburuzwa....watu wa agronomy wameondolewa kwa kuonewa kabisa ila kila mtu analake leo kwake kesho kwako..kwanini vijana hamuoji..vijana mmekuwaje sasa hivi.......

tell my people that i love them very much my blood and tears will nourish the trees that will bear fruits of freedom.......:teeth:
 
huyo GIRA hafai kabisa, chuo anakipeleka atakavyo, nasikia vijana ambao hawakumalizia ada hawatagraduate mpaka watakapomaliza madeni ya ada
 
Punguza munkari dogo tuambie sababu ya rais wa chuo kufukuzwa
 
Mdogo wake na sub woofer ya Bunge huyu
 
Punguza munkari dogo tuambie sababu ya rais wa chuo kufukuzwa

kaonewa na hii beyond reasonable doubt kikosi kazi cha kiintelejensia kimefuatilia na kimetoa taarifa ya jinsi matokeo yake yalivyotengenezwa..
 
..wakaamua kumuondoa tena kwa kumuonea kabisa...
  • Hili ni tatizo.
  • Baadhi ya vyuo vinataka viongozi wasiohoji ,yaani wale wa "ndio mzee nimesikia"
 
Dirisha la usajili limefungwa jana jioni,eti kwa ambae hajalipa ada mpaka jana basi KADISCO CHUO.NB:hivi hii nchi inaelekea wap jamani,yaani m2 anafukuzwa chuo kikuu cha umma kisa kachelewa kulipa ada ndani ya wiki3!!.2mefikia kubaya sn km nchi na kwa hali hii vijana ya2pasa kuhoji uhalali wa hw viongoz wa taasisi za umma
 
huyo GIRA hafai kabisa, chuo anakipeleka atakavyo, nasikia vijana ambao hawakumalizia ada hawatagraduate mpaka watakapomaliza madeni ya ada

Kumbe siku hizi Prof Gira ndiyo DVC academics? Wakulima amkeni mshikamane kutetea haki zenu kwani hamjifunzi kutoka kwa wenzenu wa Mvomero waliofunga barabara kulazimisha serikali iwaondoe wafugaji mashambani mwao? (Just kidding)
 
Badilisha heading, barua imeelekezwa kwa wanaharakati wenzako wa vyuo vyote na sio kwa Mkuu wa Chuo....
Umetoa malalamiko tu, tulia eleza tatizo kwa ufasaha upate msaada humu JF

j
 
Kumbe kafeli. Kama anajiamini kwa nini asiappeal?
kaonewa na hii beyond reasonable doubt kikosi kazi cha kiintelejensia kimefuatilia na kimetoa taarifa ya jinsi matokeo yake yalivyotengenezwa..
 
Siogopi chochote na kuna mpango wa kugoma hapa MUCCoBS

safi sana makamanda....kama njia ya majadiliano ikishindikana basi maandamano na migomo ndo njia ya pekee iliyobaki...
 
Dirisha la usajili limefungwa jana jioni,eti kwa ambae hajalipa ada mpaka jana basi KADISCO CHUO.NB:hivi hii nchi inaelekea wap jamani,yaani m2 anafukuzwa chuo kikuu cha umma kisa kachelewa kulipa ada ndani ya wiki3!!.2mefikia kubaya sn km nchi na kwa hali hii vijana ya2pasa kuhoji uhalali wa hw viongoz wa taasisi za umma

kama unahitajika kuchangia ada laki 3 na huku boom umepata af unashindwa kulipa wewe utakuwa mwehu!!!
 
safi sana makamanda....kama njia ya majadiliano ikishindikana basi maandamano na migomo ndo njia ya pekee iliyobaki...

menejimenti waliwahi kufuta matokeo ya urais wakamuweka rais wao wanaomtakaa
 
Huyo Raisi wenu amedisco, hakufikisha credit 16. Wala hakuondolewa kama mnavyotaka kuaminisha umma.

.
 
Back
Top Bottom