-Hivi karibuni kumekuwa na kitu ambacho ningependa kukuita "Kuvamiwa kwa JF" yaan uwepo wa wanachama wasio wastaarabu,hawa kazi yao kuandika mambo yasiyo na maana hususan ngono,threads kibao wadada wakilalamika kutoridhishwa na waume zao,sasa sisi tuwafanyenye??...pamoja na kutukanana kwenye mijadala.Nawaomba mods kabla ya kufuta posts za uchochezi muanze na hizi ambazo zinashusha hadhi ya JF na kujaza "file storage"...na ikiwezekana muwapige "Life ban" wanaolichafua" jina la JF.
-Jamani tuwe na adabu!! Genda Heka linapita kila sehemu