[emoji102] [emoji144] [emoji12] [emoji323] [emoji322]Sipati picha ukivoisave chap chap ukidhani naweza change lol
Ukimaliza kazi ya huyo na mimi nataka umfanyie rihana manyanga aje kwangu,yule muimbaji wa marekani.. sasa nasubiri majibu[emoji102] [emoji144] [emoji12] [emoji323] [emoji322]
Uchawi hauvuki bahari ndugu yangu ni aidha aje huku au tumfungie safariUkimaliza kazi ya huyo na mimi nataka umfanyie rihana manyanga aje kwangu,yule muimbaji wa marekani.. sasa nasubiri majibu
Duh! yani twende kule si watatuua na tunguli zetu watajua tumeenda na mabomu!!Uchawi hauvuki bahari ndugu yangu ni aidha aje huku au tumfungie safari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bob hajaribiwi [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Duh! yani twende kule si watatuua na tunguli zetu watajua tumeenda na mabomu!!
basi huyo achananae fanya mpango mtoto wa baba mkulu!
sasa kote unakataa wkt me nataka nisiwe mlemavu! kuna tafit wanasema kuwa single ni ulemavu sasa sijui utanisaidiaje..?[emoji23] [emoji23] [emoji23] bob hajaribiwi [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wale ni matapeli tu wapenda ngono za bure huku wakipiga mpungamshana jr mzgo huo umekuja kwa dr jitahid mpe na masharti ya kulala na mganga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji3] [emoji3] [emoji3] wale ni matapeli tu wapenda ngono za bure huku wakipiga mpunga
Haya masharti duh[emoji15]Pole sana Monicca. Naomba kidogo nimsaidie mtani wangu mshana jr, labda atatusaidia dawa nyingine kama hii haitofanikiwa. Ila nakumbuka hii dawa iliwahi kuwasaidia watu wengi na wengine tuko nao humu JF wanaendelea na malavu davi kwa raha zao. Sio vibaya nawe ukabahatika kuukonga mtima wako kwa kumpata huyo umpendae. Chukua jani la Mti wa Mkungu, jani hili liwe la kwanza juu katika tawi la ncha ya mti huo yaani bado changa na teketeke. Jani hilo huchumwa usiku wa manane ukiwa mtupu (uchi).
Kabla ya kuupanda Mkungu, piga hodi mara tatu katika mti huo hatua chache kabla haujafika ukiwa unaurushia unga wa dona ukikosa dona urushie sembe, utasema hivi -"Hodiii, wakazi wa mti huu mimi nimekuja kwenu kuchukua dawa itakayonisaidia katika shida yangu ya kumpata .... (mtaje) na wala sikuja kwenu kuchukua sumu ya kumdhuru mtu."
Zunguka mti huo mara moja kulia kwenda kushoto. Panda na uchume jani shuka nalo bila kuliangusha chini, ukiliangusha jani hilo hautoweza kufanikiwa jambo lako.
Likaushe juani kisha litwange na liwe unga laini. Changanya unga huo na chumvi ya mawe kisha utakua unachoma mchanganyiko huo katika kitezo hali ya kuwa unajifukiza ukiwa mtupu (uchi).
Siku ya kwanza kuchoma iwe sio siku ya hedhi na iwe usiku wa manane utaendelea kwa muda wa waku 14 mpaka 21. utakua unatia nia ya kumwita kimapenzi unaemkusudia. Utamuona huyooo anakuja huku akiwa na tabasamu lenye bashasha. Mlaki vizuri, na kabla ya tendo la ndoa unyunyizie kidogo sana hayo mavumba ukeni.
mnapanda bombadia matunguli hamtatunguliwaDuh! yani twende kule si watatuua na tunguli zetu watajua tumeenda na mabomu!!
basi huyo achananae fanya mpango mtoto wa baba mkulu!
Mambo mengine haya! yaani swahiba unatumika kama daraja?Kama kawa mtani
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mambo mengine haya! yaani swahiba unatumika kama daraja?
Bado hujatoa ufumbuzi juu ya ombi la huyo bibie au mambo yamefanyika (kasimu majaliwa )nasi tumeachwa solemba?[emoji3] [emoji3] [emoji3]