Hilo neno la sijui kama ataweza linamkatisha tamaa sana. Naomba mumwache ili anufaike. Ujue hiyo tiba inapatikana kwa bei mbaya sana ila hapa nimeamua kumsaidia bureee bila masharti!Nakweli,..ila kwa monicca sijui kama ataweza,...
Pole kwa majukumu ndug. Mshana Jr.
Nakuandikia maandiko haya kufuatia hali yangu kuwa taabani kwa mmoja wa members wa jukwaa la MMU.
Lengo la maandiko haya nikukutaka unipatie mitishamba ambayo itanipa ujasiri wa kumface mlengwa au kupata utaalum wa kumvuta aje mwenyewe.
Naamini nimefanikiwa.
Wasalaaam,
ndimi moniccca!
Duhhh,....[emoji15] [emoji15] [emoji15] ,..hapo kwenye bei mbaya,....alafu msaada wa bureee bila masharti,...usijekuta unamseti aje kwakwo bila kujua[emoji85]Hilo neno la sijui kama ataweza linamkatisha tamaa sana. Naomba mumwache ili anufaike. Ujue hiyo tiba inapatikana kwa bei mbaya sana ila hapa nimeamua kumsaidia bureee bila masharti!
Nadhani zote nisawa tu,...mana hiyo ya ujasiri lazima imfanye zuzu ili akubali,...vivyo hivyo kwa hiyo yakumvuta,.....kikubwa hapo ni matokeo ya yeye kufanikiwa adhima yake,....njia ya kupita ndio shughuli[emoji1] [emoji1]Hiyo njia ya mitishamba ili upate ujasili wa kumface ni nzuri zaidi kuliko hiyo ya kumvuta aje mwenyewe, kwani akija mwenyewe atakuwa kama zezeta/ zuzu.
AiseeHuyu demu anayejiita Moniccca ana kipi cha ziada?
Mbona mnampapatikia hivi?
[emoji12] au ana qumer ya dhahabu ili na mimi niunge tela?
Jamani hebu muacheni monicca atulize mtima wake. Mbona mnamtisha?Duhhh,....[emoji15] [emoji15] [emoji15] ,..hapo kwenye bei mbaya,....alafu msaada wa bureee bila masharti,...usijekuta unamseti aje kwakwo bila kujua[emoji85]
Kwezisho, ..kwezisho,....Jamani hebu muacheni monicca atulize mtima wake. Mbona mnamtisha?
Hiyo mambo ni nzito, haina mchezoKwezisho, ..kwezisho,....
Mshana tunaomba msaada tutani
[emoji106] [emoji106]Hiyo mambo ni nzito, haina mchezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Monicca usisahau mrejesho,........
Hii njia ya kwezisho iko sawa mzee.......mana nina mashaka naye[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23]
karibu sana ya nn kuteseka unamwambia tu
Siku hizi tunaongelea hadharani...sema shida yako
Sister naona kwenye avatar umemtoa nephew wangu na ukaamua kukaa mwenyewe.....hainaga nini vile ?!Mshana jivutie kwako....