Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Issue sio kuwa hai issue ni kwamba amepitia kifo na yupo kwenye ghaibu na haifai kumuomba ambaye yupo kwenye ghaibuMuhammad kasema mtu akifa bado anakuwa hai ....hata kaburini anaulizwa maswali na kujibu na akifanikiwa kuyajibu vema anakuwa mbali na adhabu ya kaburi sasa kama ni hai kwanini asiombwe ?
Mbona ipo nje ya hii madaMuhammad alisema mtu atakaye muona yeye na kumsikia ndotoni basi ni kweli amemwona yeye
Acha zako mkuu 🤣 🤣Bismillah
Sura yake ilikuwajeHuyu jamaa alikuwa geneous kwa hakika japokuwa hakusoma mie nilimuona ndotoni akiwa anafundisha hadi sura yake nilimuona
Sasa kwani wewe umeuliza swali au umetoa maelezo 🤣
mbona siku ya kiama iliyo kuu huyo huyo muhammad anajisifia kuwaombea watuIssue sio kuwa hai issue ni kwamba amepitia kifo na yupo kwenye ghaibu na haifai kumuomba ambaye yupo kwenye ghaibu
Kwa hiyo hakuna maswali yenye maelezo 🙄🙄Sasa kwani wewe umeuliza swali au umetoa maelezo 🤣
Ndiyo kwa siku ya kiama maandiko yamethibiti ila akiwa kaburini maandiko yamekataza na tunaishi katika maandikombona siku ya kiama iliyo kuu huyo huyo muhammad anajisifia kuwaombea watu
Sawa jibu ndiyoKwa hiyo hakuna maswali yenye maelezo 🙄🙄
alivaa kilemba cha rangi ya udongo na nguo nyeupe ana ndevu nyingi na sura yake nyembamba alikuwa anatufundisha somo la phyisicsSura yake ilikuwaje
Kwa hiyo wakristo wapo sahihi kumuomba yesu awaombee kwa mungu (baba)...kwa nini nyinyi waislamu ammuombi Yesu awaombeeni kwa mungu maana ni mtume wenu kama msemavyo nyinyi na mnajua yesu yupo hai hadi leo mbinguniSawa jibu ndiyo
Uso mwembamba sana au?alivaa kilemba cha rangi ya udongo na nguo nyeupe ana ndevu nyingi na sura yake nyembamba alikuwa anatufundisha somo la phyisics
Unahamisha sana mada si ukikuwa kwenye mada ya kumuona Mtume ndotoni ukataka ujibiwe nikakujibu ndiyo mara umechepuka tena 😃Kwa hiyo wakristo wapo sahihi kumuomba yesu awaombee kwa mungu (baba) kwa nini nyinyi waislamu ammuombi Yesu awaombeeni kwa mungu maana ni mtume wenu kama msemavyo nyinyi na mnajua yesu yupo hai hadi leo
Kumbuka nimekwambia haifai kumuomba uombezi aliyeko katika ghaibuKwa hiyo wakristo wapo sahihi kumuomba yesu awaombee kwa mungu (baba) kwa nini nyinyi waislamu ammuombi Yesu awaombeeni kwa mungu maana ni mtume wenu kama msemavyo nyinyi na mnajua yesu yupo hai hadi leo mbinguni
Genius ninakuingiza king 🤴Unahamisha sana mada si ukikuwa kwenye mada ya kumuona Mtume ndotoni ukataka ujibiwe nikakujibu ndiyo mara umechepuka tena 😃
Kumbuka nimekwambia haifai kumuomba uombezi aliyeko katika ghaibu
Hali ya kutoonekana,kusikika wala kuhisikaKwa hiyo Yesu yupo kwenye ghaibu ? Ghaibu ni nini ?