Pre GE2025 Barua ya Wazi kwa Othman Masoud Othman makanu wa kwanza wa Rais ZNZ na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Lisaidie Taifa kupata katiba mpya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Ndugu Othman Masoud Othman

Assalam aleikum.

Nakuandikia haya nikitambua kuwa wewe na chama chako mpo katika juncture muhimu ya kihistoria ya kuipatia nchi hii katiba mpya na reforms za msingi kwa manufaa ya Nchi nzima na Zanzibar kiujumla.

Ndugu Othman Masoud, bila shaka unatambua kuwa ilikuwa ni azma ya chama cha ACT Wazalendo na Hayati maalim Seif kuacha kuibariki serikali ya Hussein iliyoingia madarakani baada ya uharibifu mkubwa wa uchaguzi wa 2020. Hata hivyo baada ya maalimu Seif kushauriwa sana, tena sana akaamua kuingia katika serikali hiyo kwa makubaliano maalum na Hussein, hata Hivyo Hussein na CCM mpaka leo hawajatekeleza kabisa yale waliyokubaliana na Maalim. Hii ikukumbushe kauli ya mtume kuhusu alama za mnafiki, anapoahidi hatekelezi, akiaminiwa huvunja amana!.

NDUGU OTHMAN UKIGOMBEA OCTOBER 2025 NI KUHALALISHA UNYAG'ANYI.

Sasa ndugu Othman, bila shaka unafahamu fika kuwa hata Mkiingia kwenye uchaguzi, CCM haiko tayari kutoa serikali kwa mshindi, hata Kama ACT itapata asilimia 90 ya kura zote. Kwa hiyo ndugu Othman iwapo utaingia ktk uchaguzi, kama hakuna reforms za msingi nchini (Pote JMT na SMZ) kugombea kwako itakuwa ni kupoteza muda tu wa kwako na wa Wazanzibar (Labda kama unapenda kuendelea na Ulua wa umakamu wa kwanza wa rais). Wewe mwenyewe unazijua figisu za Kitambulisho cha Uzanzibari mkaazi. Jinsi CCM ilivyojipanga kuwanyima haki ya kupiga kura wazanzibari kibao.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

ZANZIBAR NI TURUFU YA KUHAKIKISHA TUNAFANYA REFORMS ZA MSINGI.

Ndugu Othman, Kelele zikipigwa Zanzibar, Zikapigwa Tanganyika, hii itaweka pressure ya kisiasa ya kutosha kusaidia reforms za msingi nchini. CCM huwa inawahofia Wazanzibari kuliko Watanganyika , kwa hiyo nchi ya Zanzibar ikivimba, Wananchi wa huko wakaweka pressure ya Kuzuia, kupuuza, UCHAFUZI lazima CCM watataka mazungumzo, na kupitia mazungumzo lazima REFORMS zifanyike. Kwa hiyo Turufu ya Zanzibar inaweza pakubwa kuongeza nguvu na wapambansji wa Tanganyika kuishinikiza CCM kufanya mabadiliko ya msingi nchini, la sivyo nchi itakuwa ngumu sana kutawalika. Ndiyo maana nakuomba ufikirie kuweka uzito wako ktk jambo hili kuweka pressure.

ACT WAZALENDO ITAPATA HESHIMA KUBWA IKIWA MSTARI WA MBELE KUKATAA UCHAFUZI KAMA wa 2019, 2020 NA 2024.

Kwa kweli hii hoja ya kutafuta namna ya kuzuia Chafuzi nchini ilikuwa ktk vichwa vya Wabongo wengi kwa muda mrefu sada ila walikuwa hawajapata leadership ya kuwezesha hilo. Na kwa kweli muitikio wa NO REFORMS, NO ELECTION umekuwa chanya kwa wananchi. Sababu za kupokelewa vizuri ni kuwa Chafuzi zinapoteza muda wa watu bure, zinachoma pesa za umma bure, dhulma zimetamalaki kwa hiyo yeyote ambaye anaonyesha nia na upeo wa kutaka Reforms ili tuweze kupata Chaguzi badala ya Chafuzi anapokelewa vyema na wananchi. Hivyo naiomba ACT Wazalendo isipotezd fursa hii ya kubeba bendera ya kudai Reforms nchini. Reforms zikifanyika ni kwa manufaa ya Wananchi wote.

CHAGUZI CREDIBLE NI MUHIMU KWA USALAMA WA WAZANZIBARI

Ndugu Othman, damu ya Wazanzibari wengi imemwagika sababu ya Dhulma ya Chafuzi. Hii hali itaendelea mpaka lini?. Isipokomeshwa, kila baada ya miaka mitano, wazazi watapoteza watoto, wanawake watageuka wajane, na watoto watageuka mayatima, Je kweli tuendelee na doing the same thing kila baada ya miaka mitano expecting different results?. Ndiyo maana ipo haja ya kupandisha stake za kisiasa nchini, kuweka msimamo usioyumba, na kudai reforms za msingi ili tuweze kupata chaguzi. Otherwise hatuwezi kuwa na CHAGUZI nchini bali CHAFUZI.
 
Andiko la heshima sana hili.
 
Hawa wapinzani wengine ni Geresha tu.

Upinzani ni huu upo kwa Tundu Lissu na Chadema ya leo tu.

Hawa akina NCCR, Cuf ni vyama vya kwenye flash
 
Ni Kutwanga maji kwenye kinu!
 
Attachments

  • 5811771-84b12f6d5ff81d807821a183416ac2ed.mp4
    648.4 KB
hatuwezi kuwa na CHAGUZI nchini bali CHAFUZI.
Kama wewe ni mshiriki wa GNU, huwezi kuita chafuzi!.
Mimi namkubali sana OMO alipokuwa Amicus Curiae kwenye kesi ya mgombea binafsi.

Tatizo la OMO ni moja tuu, kumwaga sumu!, enzi za Shein, nilishauri Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Akiwa ndani ya GNU akamwaga sumu hii Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Hivyo nikamshauri Dr. Hussein Mwinyi Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

Kwa uchaguzi wa 2025 huyu jamaa, ana fursa, nimeitaja kwenye mada HII, tena ili kuacha goli wazi, tukajenga mazingira, kipa wetu aondoke golini aache goli wazi kabisa Pre GE2025 - Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?

P
 
Back
Top Bottom